Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Hao watakua wanajijua kama maiti watarajiwa,na hata mwanamme mwenye akili zake akimuona mwanamke mwenye style hiyo jiulize kabla yako wewe amesha wavulia wangapi na hao kwenye wangapi wazima wangapi?

Tunapoongelea huyo mdada anae vua ndoms ni kuwa yy is true gal kwa huyo mtu au ni kidemu tuu huko mtaani anakipigaga siku akijisikia ila kama ni wako wa kila siku hapo mtueleze huwa mwaenda pimaa kweli maana msipige tuu stories hapa za kutuzuga, so kama sio demu wapo permanently then potea kabisa maana hapo unajitakia mwenyewe yatakayo kukuta
 
Mara ya mwisho kutumia kondom nilikuwa napuliza Kama Maputo na kujaza maji ndani yake mpaka lita 20..hahaah that was long time ago nilivyokuwa Dogo janja.

Kweli sijawai kukutana na mwanamke anaedai condom hata katika zile one night stand zangu na pia mimi condom sizipendi may be sababu siamini kama ukimwi unaambukizwa na kusababishwa na ngono
 
Kuna ukweli hapa hawa wanawake hawapendi kuvaa kondomu. Zipo za kwao lady pepeta lakini ukiwauliza ni nani amewahi hata kuinunua unaweza usimpate hata mmoja. Na kama kuna mwanaume amewahi kukutana na mwanamke aliyevaa lady pepeta asema. Hawapendi kondomu wanawake sisi ndo tuna uamuzi juu ya kutumia au kutotumia. Nafikiri wengi hawaamini kama kuna ngoma wanajua ni masihara au uongo wa wazungu hadi yawakute ndo wanakimbilia kuokoka
 
Ukweli nikwamba wa. Napo fanya mpenzi kati ya mwana mke na mwana ume %98 mwanamke ana furaha sana it's means mwanamke anapata raha sana kuliko mwana ume kutokana tu jinsi gani ww mwana ume unavyo zungusha kon katika zile chember za mwana mke na yy a najisikia raha sana mwisho wa siku mwana ume anapata %2tu za radha hivyo basi unapo tumia kondom mwana ume hutopata uwezo wa kazungusha kon katika chember zote za mwanamke nahata ukifika huto mkuna vizur due to the resistance of condom.
Sababu nyingine zinazo wafanya wanawake wengi kuto kufos mwanaume kutumia kondom, mnapo kuwa kwenye preparation kati ya mwana mke na mwana ume kutokana tu mwana mke ndio ana pata raha nyingi za kimapenzi mwanamke hujawa raha nyingi jinsi gani unavyo muandaa na hupelekea mwana mke kusahau kukwambia ww kutumia kondom lakini tu anapo maliza kafanya tendo la ndoa huyo huyo mwana mke huwa wa kwanza kuanza kuwanza na kujutia kwa nn siku tumia kondom Kiufupi mwanamke hawezi kuji control katika swala la kimapenzi thx sana wadau
 
hawataki uvae kwa sababu wanaona kabisa wameambukizwa ukimwi
 
teh teh kuna alonambiaga eti kondom zinampa fangasi xo bora tukapime H.I.V ili tule pipi bila maganda.

Mwingine nlikuwa na condom 3 zikaisha usiku alilia machozi anataka pipi bila ganda basi asubuhi akaamkia hospitali kupima ili siku nyingine nimpe pipi yangu bila maganda.

Mwingine siku ya kwanza kukutana ile natoa kondom akaninyang'anya akaikunjakunja na kuitupia mbali.....
Shikamoo mwl.
 
Zinawasha ee
we achana na hizo za SALAMA
mwambie kidumu wako atumie hii itakutekenyesha vizuri itakukuna vizuri. na inausalama 100%
hii
images
images
 
Waungwana wote humu ndani mtakuwa ni mashahidi.

Kwa wale wanaopenda totozi mtaelewa maana ya ninachoongelea hapa na mtaungana na mimi.Kwa wale ambao mbunye kwenu ni kitu adimu basi naamini hatutaelewana.

Jamani tangu nianze kufanya mapenzi hadi leo nimelala na wanawake wengi sana na nina watoto watatu wa mama tofauti,ila sijaoa na sifikirii kuoa katika wanawake hao wengi niliopakuana nao kwa kweli ni watatu tu ndio walioweka mkazo wa kondomu na walikaza haswa.

Wengine wote huwa hata kukumbushia hakuna wala nini.sasa waungwana najiuliza hivi ni kwa nini wanawake wengi hawapendi kuliwa pipi zao na maganda?Yaani unakuta demu unamvua hadi chupi ila hasemi kitu kuhusu kondomu,hadi unampanda ila kimya tu.

Sasa najiuliza sana hii kitu ni kwanini hawa dada zetu hawapendi kondomu? Tena mwingine ukimng'ata na kondomu basi ujue siku nyingine haji tena na wengine ukimwambia tutumie kinga,huwa wanalalamika eti zinawawasha.
Mmmh wanaume ndio hawazitaki ukikomaa sana atavaa baadae imebast sasa hapo unajiuliza nilivaa au sikuivaa. For mi hiyo durex ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom