Haah, sasa ukiona wat wankufa skuiz unaambiwa ni presha unaamini. Endlea.UKIMWI ungekua kama unavyosemwa asingelikuwepo mzima hata kidogo.subilini siku jamaa wakiamua kubadilisha gear angani ya biashara mtakuja kushangaa kua mlikosa raha duniani
Ila ukute ni kweliHawa Akina Dada Wengi Wao Hawapendi Condom Eti Mafuta Ya Condom Yanaathiri Kizazi Mmh
Acha kujifagiriahao uliokutana nao sijui ni wa wapi, hawajitambui na inawezekana "waliuza akili wakanunua ng'ombe"
Niangusyege esambi syako[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwenye hilo tendo,mwanawake hawanaga kauli.....we niangusage tu!!
Wewe unatumia? Acha uongoHao ulio tiana nao ndiyo hawapendi kutumia
Hata ukivaa kondom utakufa tu au kondom za siku hizi zina uzima wa mileleUtakuja kufa shauri yako
[emoji1] [emoji1]Hata ukivaa kondom utakufa tu au kondom za siku hizi zina uzima wa milele
Mkuu uckate tamaa ya maisha hivyo!!Hata ukivaa kondom utakufa tu au kondom za siku hizi zina uzima wa milele
[emoji2] afadhari mkuu umenisaidia kuiweka sawa hiyo!Niangusyege esambi syako[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ni kweli kila mtu atakufa, na hakuna sjuwae atakufa kifo gani, lakini kuna vitu tunavyo viepuka kwa kuwa tunajuwa vinasababisha kifo. Mfano Sumu, risasi, moto , Ukimwi nk. Ni ujinga sana kujisababishia kifo kupitia njia hizi wakati zinafahamika. Ili usife kwa Ukimwi unaoambukiza kupitia ngono, ni lazima mpenda ngono wewe ujikinge kwa kuvaa Kondomu kama unakutana na KE/ME asiye mwanandoa mwenzako. Vinginevyo itabaki story kabla ya siku zako halali za kuwepo hapa duniani. Hayo maneno ya Kondomu hazina uzima wa milele IPO siku utajutia sana msimamo wako huu.Hata ukivaa kondom utakufa tu au kondom za siku hizi zina uzima wa milele
[emoji23] [emoji23]Mkuu condom ni elastic material,sasa unaponiambia haikutoshi nakuwa sikuelewi.wewe una kibamia tu huna lolote
We mdada unaonekana utakuwa mtamu balaa..![emoji39]Zinawasha ee