Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

ivi uwaga zipo za KE zinauzwa wapi??? bei gani??? alafu ukienda dukan unasemaje??? make utasema ndomu ukifika hom ukikuta ni ya ME Je???? (usiniquote ewe mzinzi kwa kunitusi au kejeli mi sio mzinzi mwenzio ni swali tu kwa faida ya wote wasiojua),.
Tatu bomba.., salama.., lady ppta... [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji195] [emoji195] [emoji195] [emoji195] [emoji195]
 
Dawa ni kupima ngoma tu then baada ya hapo ni nyama kwa nyama. Tena siku hizi kupima ukimwi sio mpka muende hospital, kuna vile vidude vinaitwaje sijui wanavyopimia ukimwi. Unavinunua vya kutosha au kama una rafiki yako daktari unamuomba akupe. Ukipata demu mnapima then mnakula raha. Honestly mimi pia sipendi kondomu ila nikipata demu mpya au one-night-stand tunapima then ni mpwito mpwito wa nyama kwa nyama....kavu ina raha yake acheni masihara nyie ila ni muhimu kuwa makini... pima ngoma kwanza then furahia maisha kwa usalama
kwani ni kwel condom inazuia ukimwi?
 
Waungwana wote humu ndani mtakuwa ni mashahidi.

Kwa wale wanaopenda totozi mtaelewa maana ya ninachoongelea hapa na mtaungana na mimi.Kwa wale ambao mbunye kwenu ni kitu adimu basi naamini hatutaelewana.

Jamani tangu nianze kufanya mapenzi hadi leo nimelala na wanawake wengi sana na nina watoto watatu wa mama tofauti,ila sijaoa na sifikirii kuoa katika wanawake hao wengi niliopakuana nao kwa kweli ni watatu tu ndio walioweka mkazo wa kondomu na walikaza haswa.

Wengine wote huwa hata kukumbushia hakuna wala nini.sasa waungwana najiuliza hivi ni kwa nini wanawake wengi hawapendi kuliwa pipi zao na maganda?Yaani unakuta demu unamvua hadi chupi ila hasemi kitu kuhusu kondomu,hadi unampanda ila kimya tu.

Sasa najiuliza sana hii kitu ni kwanini hawa dada zetu hawapendi kondomu? Tena mwingine ukimng'ata na kondomu basi ujue siku nyingine haji tena na wengine ukimwambia tutumie kinga,huwa wanalalamika eti zinawawasha.
Rest in Peace
 
Day ni kweli mm nilikutana na manz mzigo kama masogange condom hatak dah tukabishana sana ikabidi tuhairishe mech bt yy akawa tyr tukapime tusex bila ndomu
Hapo ndo ukawa mtihani kumgegeda nataka kupima sitaki na manz hatak kutumia condom
Ikabd nimpange nafata vile vidude vya kupima ukimw nyumban nikarudi na kimoja baada yy kujipima mbele yangu akaniuljza na ww je?? Nikampiga kiswahili masaa 3 baadae kila mtu ana anatoka jasho manz mtamu sema kila nikimfikiria hua namuogopa
 
Utakuja kufa shauri yako
 
Back
Top Bottom