Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Time is limited, life is short kwanini watu wajitese? Afterall unatenda dhambi ambayo haina kipimo so do it kiuhakika maana adhabu yake itakuwa ya uhakika pia!

***Neno langu sio sheria***
 
Kwa kweli nmekula papuchi nyingi sana ila sijawahi kuvaa kondom... ilifika pahala ikabidi nkajipime ili kuikubali hali yoyote ntakayokutana nayo... namshkuru Mungu nlijikuta salama na nmebadilika kwa kweli... Saiv nna stock ya kutosha Getto
 
Kutumia condom ni sawa na kujenga nyumba nzuri alaf unalala nnje.ingekua muhimu condom zingeota porini kama maua tuwe tunachuma na kuvaa
 
Utakuwa Na ukimwi tu Wewe .

Heloo...we ushapimwa?

Kama bado njoo nikupime hapa bonde la mpunga..

20160610_202633.jpg
 
Ndo maana kuliko kuwa na mademu wengi kwa kundomu..ni bora kuwa nao wawili tu bila kondomu
 
Heloo...we ushapimwa?

Kama bado njoo nikupime hapa bonde la mpunga..

View attachment 370969
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ngabu bhana..bonde la mpunga hata niwe hoi vipi sipimi,mara kumi kwa dr yahaya pale.bonde la mpunga hata kama huna malaria wao wanakwambia unayo,sasa huyo helooo asije akaambiwa hana ukimwi wakati anao
 
Back
Top Bottom