Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Hawa Akina Dada Wengi Wao Hawapendi Condom Eti Mafuta Ya Condom Yanaathiri Kizazi Mmh
 
Waungwana wote humu ndani mtakuwa ni mashahidi.

Kwa wale wanaopenda totozi mtaelewa maana ya ninachoongelea hapa na mtaungana na mimi.Kwa wale ambao mbunye kwenu ni kitu adimu basi naamini hatutaelewana.

Jamani tangu nianze kufanya mapenzi hadi leo nimelala na wanawake wengi sana na nina watoto watatu wa mama tofauti,ila sijaoa na sifikirii kuoa katika wanawake hao wengi niliopakuana nao kwa kweli ni watatu tu ndio walioweka mkazo wa kondomu na walikaza haswa.

Wengine wote huwa hata kukumbushia hakuna wala nini.sasa waungwana najiuliza hivi ni kwa nini wanawake wengi hawapendi kuliwa pipi zao na maganda?Yaani unakuta demu unamvua hadi chupi ila hasemi kitu kuhusu kondomu,hadi unampanda ila kimya tu.

Sasa najiuliza sana hii kitu ni kwanini hawa dada zetu hawapendi kondomu? Tena mwingine ukimng'ata na kondomu basi ujue siku nyingine haji tena na wengine ukimwambia tutumie kinga,huwa wanalalamika eti zinawawasha.
Aisee ni kweli majority hawapendi na maamuzi ya mwisho yanategemea mwanaume atasemaje...ila nakumbuka demu mmoja ni nesi..siku tumekutana kwa ajili ya kugegedana...ye alikuja na vipimo vya ngoma...mimi nilikuwa nimejikoki na pakti zangu mbili za salama..sasa kwenye story mbili tatu..na foreplay za hapa na pale...mwenzangu kumbe alikuwa ananivutia spidi anzie wapi...alivyoona nimetoa ndom nataka kuvaa ndo akapata ujasiri wa kuniambia baby nina vipimo hapa..Aisee mbona nilishukuru mana miezi sita nyuma nilikuwa nimepima...kwa hyo sikuwa na wasiwsi sana...manzi nae alikuwa poa..basi ukawa ni mwendo wa kuvunja amri ya6 tuu ila mwisho wa siku akaniambia hapendi kondom .....kwa hyo ni kweli hawapendi..
 
UKIMWI ungekua kama unavyosemwa asingelikuwepo mzima hata kidogo.subilini siku jamaa wakiamua kubadilisha gear angani ya biashara mtakuja kushangaa kua mlikosa raha duniani
 
UKIMWI ungekua kama unavyosemwa asingelikuwepo mzima hata kidogo.subilini siku jamaa wakiamua kubadilisha gear angani ya biashara mtakuja kushangaa kua mlikosa raha duniani
We unatania au unamaanisha....au kwa sababu ya haya madawa ya kuongeza maisha yanawafanya watu siku izi hawakondi kama zamani ndo unasema hivyo...haya shauri yako....
 
We unatania au unamaanisha....au kwa sababu ya haya madawa ya kuongeza maisha yanawafanya watu siku izi hawakondi kama zamani ndo unasema hivyo...haya shauri yako....
Hata nikikuelewesha hutaelewa mpaka ushughulishe akili yako
 
Hao ulio tiana nao ndiyo hawapendi kutumia
 
hao uliokutana nao sijui ni wa wapi, hawajitambui na inawezekana "waliuza akili wakanunua ng'ombe"
 
Back
Top Bottom