Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Naombeni kujua inaweza kana kutolewa bikra huku mwanaume amevaa condom?
Ndiyo bikra itatoka,lengo la kuvaa kondom ni kujikinga na maradhi pamoja na mimba zisizo tarajiwa.Kwani wewe ulitolewaje kiongozi??😀😀😀
 
Nikivaa condom inanichukua masaa ma5 kupiga bao la kwanza zina bore
 
Af kama wote mnapenda kavukavu ama condom kwa sababu yote ni maisha, niwapeni hints za kufanya. Beba condom na vitendanishi.
Mkifika kwenye pagala na mkaelewana condom it's okay. Kama mtaelewana kuchinja basi pimana damu kwanza. Maana majibu kama muathirika ni chini ya sek.30 yatakuwa tayari. Inamaana hata m1 wenu akionekana ana 'ngoma' mmavaliana. Kama wote fit? Ndomnaendeleza hayo maujinga kwa raha zenu.
 
ivi uwaga zipo za KE zinauzwa wapi??? bei gani??? alafu ukienda dukan unasemaje??? make utasema ndomu ukifika hom ukikuta ni ya ME Je???? (usiniquote ewe mzinzi kwa kunitusi au kejeli mi sio mzinzi mwenzio ni swali tu kwa faida ya wote wasiojua),.
lady pepete
 
Back
Top Bottom