Kwanini wanawake wanatuita "Bwana" au "Mabwana"

Kwanini wanawake wanatuita "Bwana" au "Mabwana"

Ni bwana sio Bwana.. Au tuite kwa kihaya My lord.
Kuita mtu my lord ni ka level Cha kuwa submitted kwenye Authority ya Mungu ambayo iko rested onto you Man.
Then what happened,
now days there's no real leadership to submit to, na wengi wenu hamjui how to live with a virtues woman. That's why we shift to your seat to take ur responsibility.
bwanaee sijui kama nitaeleweka🥺
Nimekuelewa uzuri sana
 
Kwenye lugha ya Kiswahili,
Bwana ni utambulisho wa jinsia,mara nyingi ni kwa mtu ambaye amevuka uvulana,

''Mabibi na mabwana'' humaanisha wake kwa waume,

Hata kwenye kadi za mialiko,kabla ya kuandika jina utakuta maelezo ya,

Bibi....
Bwana....

Wataalamu wataongezea zaidi.
 
Kitu pekee ambacho mwanamke hawezi kufanya ni kumheshimu asiyemuona anastahili kumheshimu.

Mwanamke hawezi ku-pretend heshima. Kama hakuheshimu utaona tuu
 
Moja wapo ya madhaifu ya lugha yetu. Lakini pia kiuhalisia mwanamke anapaswa kumtii mwanaume
 
Back
Top Bottom