Wanawake wembamba wanapenda sana tendo kuliko wanene na wa kati

Job Richard

JF-Expert Member
Feb 8, 2013
3,865
2,176
Huu ni utafiti mdogo wanawake wembamba wanapenda sana na hawachoki kuliko wanene. Na wengi wao ndio wanaongoza kwa uhuni au kutoka nje ya ndoa sababu hawaridhiki.

Nadhani ndio maana hata miili yao hainenepi hawaridhikagi hawa viumbe. Japo watajisifia wao ni wasafi hata kunako ila hilo halibadilishi ukweli tuwape kongole wanene na miili ya kati hapa pia sio yale gwedegwede(bongeeee nyanya)

Vijana ukioa mke mwembamba jitahidi kumlisha ili uepuke adhabu ya kupanga foleni kunywa pweza au alikasusu ujiboost.

Vijana wengi wanajiona hawana nguvu za kiume kumbe ni wanawake wao hawaridhiki. Unaanza kujiharibu kwa dawa nyingi mwilini.

Siamini kwamba punyeto ya shuleni ikupe adhabu ya kukosa nguvu za kiume ukubwani na kijana chini ya miaka 35 hapo ni uongo. Vijana nguvu mnazo sana ila mnakosa kujiamini kisa umesemwa na mpenzi au mke.

Na ni afadhali umpate mwembamba ila bikra utafaidi ndoa hataenda nje kuonjwa onjwa na wengine kisa hujamtimizia
 
Swali:

Sample space yako imejumuisha:

  • Ukanda wa baridi.
  • Maeneo yenye walevi kama rombo!?
  • Maeneo ya Joto?
  • Maeneo ya mashambani?
  • Maeneo yenye wacha gani?
 
Nachojua mwembamba kumfikisha kibo kazi sana kuliko mnene
wembamba unakula hii
Screenshot_20230904-074655.png
 
wembamba wana vina virefu na vipana, hali inayopelekea kufikishwa kwa mbinde.. hvyo hawaishiwi hamu, mume anapanda jioni bodaboda anapanda mchana.. zingatia neno kupanda... ila wenye minofu hata ndan kuna bana hvyo msuguano unakuwa mzuri wote mnafika mnapumzika ewaaa., mademu acheni kujikondesha na kujiita model, mnapongeza tu kipenyo af badae mje kutuita viba 100
 
Back
Top Bottom