Iko hivi, kumwelewa mwanamke ni swala la psychology tu,yani unatakiwa kujua psychology ya wanawake ilivyo.
Wanawake muda wote wapo na wasiwasi,all the time wako hivyo,Ukishalijua hili kazi yako kama Mwanaume ni kujua jinsi ya kutumia wasiwasi wake au wao kama advantage kwako.
Huo wasiwasi wao unaitwa Competition Anxiety, mwanamke ana wasiwasi wa kushindana na na wanawake wenzie kila mda,angalia akinunua nguo,viatu,simu, life style,hadi wanaume wakua nae yote ni competition tu.
Sasa badboys wanatumiaje hyo nafasi? Simple badboys au alpha males wanatumia wasiwas huo huo kumgalagaza mwanamke,Yani wanafanya ku double au ku triple ile hali ya wasiwasi kwa wanawake,Kumbuka mwanamke ana wasiwasi mda wote,imagine na ww ukamuongezea wasiwasi sasa

.
Badboys wanawaongezeaje wasiwas wanawake na kutumia kama siraha kwao?
Well kama nilivyosema awali, mwanamke unatakiwa kumpa wasiwasi,Then competition anxiety itaanza kumtesa na kufanya aanze kukunga'ngania mwenyew,How Sasa?jiulize ni mara ngapi girlfriend wako akija simu unafuta picha zote za wanawake wengine,unadelete message zote za michepuko,una block na namba zao kabisa ili uwe clean

uzidi kuonekana mwaminifu ili upendwe zaidi,kuna muda hata kumpost mwanamke mwingine kweny status unaogopa,Sasa hili ndo tatizo lenyew linalo wacost magud boys

Iko hivi, mwanamke tumesema anawasiwasi mda wote, wasiwas wa competition,Ikitokea ww unamuondolea wasiwasi huu basi automatically anaku over power kadri siku zinavyoenda.Tunakosea sana pale tunavyo ficha sms, picha,block wanawake wengine ili tu ulie nae akuamin na akupende,tumesema dawa ni kudouble au ku triple kabisa wasiwas wake.
Mwanamke anapojua wazi kua kwako hayupo peke yake au kuna wasichana wengine wanakutaka automatically ume double wasiwasi wake,itaanza kumfanya akugande mda wote akiogopa competition huenda ikamtupa nje ya mchezo..kumbuka Competition anxiety itamfanya aendelee kukushikilia hata iweje.Ndio mana wahuni siku zote hugandwa na hawa wanawake.Muhuni hafichi sms,muhun hablock namba za wanawake wengine akisa na girlfriend wake,tena simu ikiita anapokea palepale,muhun hafichi hata picha za utupu alizo mpiga Aisha kisa jack akija ataziona,akizona ndio competition anxiety inazidi kumjaaa.
Jiulize ni mara ngap manzi anajua huyu muhun ni malaya lakin habanduki? Mar ngapi muhun anafumaniwa lakin kesho mwanamke anarud tena? Competition anxiety ndio jibu, mwanamke hatoweza kuondoka kirahisi coz anajua wazi akisha Mucha kirahis jamaa wenzie watakuja

, basi automatically akikumbuka hivyo tu basi kesho anarudi.
Hivyo basi wahuni ndiomana wnagandwa kwasababu wana triple wasiwasi uliopo ndani ya wanawake kisha wanautumia kwa faida yao,kuna muda muhun anamwambia Mwanamke kama hauji nimuite Angel,na huyo bibie anajua kabisa jamaa hatanii hata kidgo,asipoenda basi angel ataenda kukalia punda mapema,kuogopa competition basi ataenda haraka haraka.Hivyo basi ukitengeneza mazingira ya wasiwasi una nafasi kubwa kwa huyo mwanamke akaendelea kukuganda,jitahid hata mara moja moja akute hata sms imekuita baby,yani we jitumie hata kwa namba yako nyingne tu sms ya Baby umekula? Alafu aje aione,utakua ume triple competition anxiety na kumfanya aanze kukung'ang'ania .

HAKUNA KITU KINAWAUMIZA KICHWA NA AT THE SAME TIME WANAKIPENDA WANAWAKE KAMA KUA NA MWANAUME AMBAE KILA MWANAMKE ANATAMANI KUA NAE,NA KILA MWANAUME ANATAMAN KUA KAMA MWANAUME HUYO.
Nafikir niishie hapa,bila shaka ushajua kwanini wahuni wanapendwa sana,hiyo ni Reason moja kubwa..sijataka kutoa sababu zingine ambazo zipo kwa sababu ya mda imebid niseme hiyo moja ambayo ni kubwa sana lakin nilichoongea pia ni psychology research imefanyika na mtalamu wa psychology based on behaviorism ziaid ya miaka 15.Kwaiyo hizo ni psychology findings,heshima kwake Rollo Thomass.