Kwanini wanawake wanakuwa desperate na ndoa?

Kwanini wanawake wanakuwa desperate na ndoa?

Mwenyezi Mungu ni mwenye huruma na humsamehe kila mja wake anaeomba toba, hao wazinzi kwakuwa hawajaoa na kuolewa waweke kwenye dua zako ukifanya ibada na wao waingie kwenye ndoa. Maisha ni mtihani rahisi lakini tunafeli kwa kukopiana notes wakati kila mtu ana swali lake.
Hii pointi ya maana sana ubarikiwe
 
Mwenye digrii at least awe mwalim tutavumiliana. Msako wangu unajielekeza kwa maticha.
Wengine wote at most diploma, la saba atapewa nafas kubwa zaid [emoji23]
Walimu mnatuonea kweli, sijui kwanini[emoji134]
 
Walimu mnatuonea kweli, sijui kwanini[emoji134]
Hahahaa
No hatuwaonei tunawapenda, true yaan nyie wengi wenu ni wife materials. Na ushahidi nnao.

Wakiripot wakim wa sayans wapya unistue bas
 
Aliyeleta ndoa ndie aliyepandikiza ilo swala kwa jinsia ya kike nakwenye jamii kwa ujumla.ndo mana wanawake wanachukulia kuolewa kwa mtazamo tofaut kuliko mwanaume.Sasa ilo linapata nguvu zaid akilin mwao sababu wako emotional zaidi.Ata ivyo nature iko wazi sis wanaume kama wawindaji nijukum letu kuwawinda nakuwamiliki.
 
Hahahaa
No hatuwaonei tunawapenda, true yaan nyie wengi wenu ni wife materials. Na ushahidi nnao.

Wakiripot wakim wa sayans wapya unistue bas
Sawa, ngoja nikifika kama wapo nitakustua maana wa kiume ndio huwa wengi kwa upande wa science.
 
Back
Top Bottom