supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 1,023
- 1,979
- Thread starter
- #61
Yaani imebidi tu iwe Alert maana ishakuwa ishu, na mbaya zaidi najua tu yule mume wake atajua, na sitaki matatizo nae coz niliwaacha kwa amani ile kiume nikajikaza nikapita hivi!Hii nayo ni New Alert!
Sasa huyu mwanamke anajidai kajitoa ufahamu kwa usumbufu huu, kuna muda kwel nataman kumfukunyua ila nikifikiria jinsi msela alivo mpole naacha kuwaza huo ujinga tena