Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,919
- 183,334
this is a right way to live and a wrong way to live. ukianza sema yote heri basi hapo shida ndio inapoanza
Maisha ni kupanga na kuchagua vile uonavyo ni sahihi bila kuvunja sheria ya Mungu wala ya nchi.
So hatuwezi kufanana katika mipango na chaguzi, ndio maana wewe unataka std7, mwingine anataka mwenye PHD,mwingine anataka asiekwenda shule kabisa nk.
Mwingine atataka kuoa akiwa na 20 mwingine na 30 wote wanasababu zao ambazo unaweza ukakubaliana nazo au lah!! But thats their life.
Uheri unakuja kwa muhusika na Mungu wake,dont judge,ukiona anaishi maisha yasompendeza Mungu then wewe unaeishi maisha ya kumpendeza Mungu put them into prayers.