Kwanini wanawake wanakuwa desperate na ndoa?

Kwanini wanawake wanakuwa desperate na ndoa?

We bwana usimtafutie mwanaume mwenzio kesi kwa kujiingiza kwa mkewe, muweke mbali kabisaa mke wa mtu huyo Ooh Ooh jamaa akikufumua pa kutolea uchafu huko usije kulalamika hapa, maana hasira za siku hizi za wanaume wagoni humaluziwa huko
 
Kuna kitu kinaitwa 'biological clock',yes it's ticking but highly overrated hasa ktk jamii za kiafrika...mabinti ni heri akose kazi na elimu lakini sio kukosa ndoa
 
Back
Top Bottom