Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
kama unamla mle hutaki mwambie
duh ushaharibu new year ndio maana basi amesita sita kujibu kwa haraka.Lile jogoo nilishalichukua.
Maybe anatafuta mwingine ndio akujibu.duh ushaharibu new year ndio maana basi amesita sita kujibu kwa haraka.
Ukigeuka huku unaambiwa menopoz sio malaria, haujakaa sawa unaambiwa wanawake wazuri wameshaolewa, ukigeuka unapigwa na la unachagua sana, ukitaka kupumua lingine hilo!! Sasa wenye vifua vya nyanya ndio ikitokea tu basi ni kuolewa hayo mengine mbele ya safari.Kuna kitu kinaitwa 'biological clock',yes it's ticking but highly overrated hasa ktk jamii za kiafrika...mabinti ni heri akose kazi na elimu lakini sio kukosa ndoa
lipo linakusubiriAndaa bas lile jogoo lako kubwaa nije nichinje
sana tuUmeona eeeh.Nimekumiss binamu
kashasema yupo anansubir kwahyo no worriesMaybe anatafuta mwingine ndio akujibu.
hayo ndio maneno mamalipo linakusubiri
Mmh! Wala usiwadanganye wadogo zetu kumbuka uAfrika huwa hata haudumu sasa unawezaje mwambia binti bora akose kazi na elimu lakini asikose ndoa!! Wanaume hawataki wanawake wadakaji wanataka viungo wachezeshaji ili mwisho wa siku Mpira uingie kwa ustadi,Kuna kitu kinaitwa 'biological clock',yes it's ticking but highly overrated hasa ktk jamii za kiafrika...mabinti ni heri akose kazi na elimu lakini sio kukosa ndoa
Ukiona hivyo ujue kishatafutwa mwingine.kashasema yupo anansubir kwahyo no worries
nahis wewe ndio ulipewa mwengine maana wa kwangu namjuaUkiona hivyo ujue kishatafutwa mwingine.
Basi sawa, cha msingi mie nilimchukua jogoo kweli kweli, na alikuwa mmoja tu.nahis wewe ndio ulipewa mwengine maana wa kwangu namjua
ha ha ha ha ha geni atakua na majibu mazur zaid kama jogoo alikua mmoja au wawili halafu kila mtu kaonyeshwa wa kwakeBasi sawa, cha msingi mie nilimchukua jogoo kweli kweli, na alikuwa mmoja tu.
Sky kwa mara ya kwanza nasifia point anko apo juu ya suala la masters you're bright mkuuMkuu labda jamii ibadilike turudi Enzi za ujima, wakati mwanaume ndiye alikuwa mleta mkate. Binti kigori ukifia balehe tu unaletewa mume, unakwenda kwa mume ukiwa bikra. Sasa sikuhizi maisha yamebadilika, ni wangapi watakubali kuachiwa watoto mama anafanya masters? Ninadhani mengine ni personal choices.
shukrani mkuu.Sky kwa mara ya kwanza nasifia point anko apo juu ya suala la masters you're bright mkuu
Ww ni wife material,atakae kuoa atafaidi!..unatoa points tu!..shukrani mkuu.
Unaweza ukawa katika ndoa pia na ukaishi maisha yasiyompendeza Mungu.
Cha msingi ni kukumbushana kuwa karibu na Mungu, uwe kwenye ndoa au laah!!!
Kuishi maisha ya kawaida huku ukisononeka na kutamani vilivyo nje ya uwezo wako pia sio poa, maisha ni kuchagua, kama wewe ulichagua kuoa ukiwa na 20 mwingine akachagua kuoa akiwa na 30 yote heri, chamsingi hakuna anayemkwaza mwenzie.
Yaani imebidi tu iwe Alert maana ishakuwa ishu, na mbaya zaidi najua tu yule mume wake atajua, na sitaki matatizo nae coz niliwaacha kwa amani ile kiume nikajikaza nikapita hivi!
Sasa huyu mwanamke anajidai kajitoa ufahamu kwa usumbufu huu, kuna muda kwel nataman kumfukunyua ila nikifikiria jinsi msela alivo mpole naacha kuwaza huo ujinga tena