Kwanini wanawake wanakuwa desperate na ndoa?

Kwanini wanawake wanakuwa desperate na ndoa?

Kumbuka ile laana ya Mungu pale eden bado inawatafuna na haitawaachia mpk masihi atakaporudi mara ya pili... Walilaaniwa kuwa tamaa zenu (wanawake) zitakuwa juu ya mwanaume siku zote, nae atakutawala.... Mpaka leo mwanaume ndie kiongozi ndani ya ndoa. Watadai uhuru na hawajui wakumdai uhuru bcoz aliewalaani sio mwanaume bali ni muumbaji wao. Haki sawa watapewa na huyo huyo.
Imeeandikwa wapi Mungu alimlaani mwanamke??
 
Ukimkaribia jiandae kufedheheka kimwili na kiakili
 
Back
Top Bottom