Kwanini wanawake wanakuwa desperate na ndoa?

Nilisomaga Ebony zamani sana in 90's ni kuwa walishapanga harusi kitabu cha Oprah kikatoka ndani yake alimzungumzia Graham, Graham alikasirika sana wakaamua kuairisha harusi, Oprah alikuwa very disappointed akamwambia kama unaahirisha leo hatutaona tena.
Hahaha
Lakin hawana haja ya ndoa kama washa kaa miaka yote hiyo. Its proved wanapendana they may live loving each other till death.
Naskia wenyewe wana jiita wana 'spiritual union'
 
Mkuu ninadhani mwanamke kuwa na financial stability pia inasaidia, fikiria kama Graham ndiyo angekuwa na mahela yale, alafu sikumoja anakwambia kwani wewe mke wangu Oprah angejisikiaje?
 
Kwasababu jamii ndiyo imeshatujenga hivyo, mwanamke ukifikisha miaka 30+ hujaolewa, wazazi wanakuwa na wasiwasi, marafiki wote uliosoma nao wameolewa na wana watoto unajiona tofauti sana. Wakati Oprah ameolewa mwaka huu akiwa na 60+.

hapo ndipo mnapobugi.....kisa a famous woman kafanya hivyo basi kumeficha mabaya yake kuwa alikuwa mzinzi. wewe ukweli ni kwamba mwanamke na mwanaume wanatakiwa waoe mapema laa sivyo tunakuwa ma malaya kama mnavyojionea kwenye jamii ya sasa. wangapi hapa wanaweza kuishi mpaka 30 wakiwa hawajazini?
 
Mkuu ninadhani mwanamke kuwa na financial stability pia inasaidia, fikiria kama Graham ndiyo angekuwa na mahela yale, alafu sikumoja anakwambia kwani wewe mke wangu Oprah angejisikiaje?
Hahaha
Sky umewaza mbali sana. Kwa hiyo unataka useme kuwa rich ni kinda security kwa Oprah ee!?

Ila hata graham naye namsifu ame mtuliza mtoto vzuri, na ujue graham ni divorcee tayar so nadhan naye maisha ya ndoa ana yajua.
 
mwanawane sii aajileta mwenyewe...wewe mgegede tuu. yeye mwenyewe anajua anachofuata ni mgegedo. tenda haki. hit that papuchi hard.
 
Huyo demu kicheche tokea mwanzo, alikucheat wewe kwahio sioni jipya kumcheat mumewe.
 
hapo ndipo mnapobugi.....kisa a famous woman kafanya hivyo basi kumeficha mabaya yake kuwa alikuwa mzinzi. wewe ukweli ni kwamba mwanamke na mwanaume wanatakiwa waoe mapema laa sivyo tunakuwa ma malaya kama mnavyojionea kwenye jamii ya sasa. wangapi hapa wanaweza kuishi mpaka 30 wakiwa hawajazini?
Mkuu labda jamii ibadilike turudi Enzi za ujima, wakati mwanaume ndiye alikuwa mleta mkate. Binti kigori ukifia balehe tu unaletewa mume, unakwenda kwa mume ukiwa bikra. Sasa sikuhizi maisha yamebadilika, ni wangapi watakubali kuachiwa watoto mama anafanya masters? Ninadhani mengine ni personal choices.
 
Kwa kweli atakaye kuwa mke wangu ajitahidi asome mapema amalize (though spend mtu alo soma sana) ile ya kuachiana watoto sitakubal kwa kweli.
 
Hahaha
Sky umewaza mbali sana. Kwa hiyo unataka useme kuwa rich ni kinda security kwa Oprah ee!?

Ila hata graham naye namsifu ame mtuliza mtoto vzuri, na ujue graham ni divorcee tayar so nadhan naye maisha ya ndoa ana yajua.
Pia anawatoto kutoka previous marriage kwahiyo Oprah kukosa mtoto haimsumbui, yaah Oprah kutafuta mwanaume mwingie hana muda at least anamtrust Graham kwa ushauri pia na company.
Kwa kweli atakaye kuwa mke wangu ajitahidi asome mapema amalize (though spend mtu alo soma sana) ile ya kuachiana watoto sitakubal kwa kweli.
Inakera, mzee mzima unakwenda clinic nursing bag, una warm up maziwa.
 
Pia anawatoto kutoka previous marriage kwahiyo Oprah kukosa mtoto haimsumbui, yaah Oprah kutafuta mwanaume mwingie hana muda at least anamtrust Graham kwa ushauri pia na company.

Inakera, mzee mzima unakwenda clinic nursing bag, una warm up maziwa.
Bas ndio maana na mzee Graham katulia tuu.
Ila mi nawakubali miaka waliyo kaa hiyo ingekuwa easy mkizinguana kidogo mna achana, though imewapa advantage pia hawachungani sana.
 
Mkuu labda jamii ibadilike turudi Enzi za ujima, wakati mwanaume ndiye alikuwa mleta mkate. Binti kigori ukifia balehe tu unaletewa mume, unakwenda kwa mume ukiwa bikra. Sasa sikuhizi maisha yamebadilika, ni wangapi watakubali kuachiwa watoto mama anafanya masters? Ninadhani mengine ni personal choices.

ni personal choice na ni suala la mtu kukubaliana na consequences zipi. kwa kujidai tunachelewa kuoa kwa kutafuta maisha ndio kunatufanya tuwe wazinzi. sasa ipi bora, kuwa na maisha ya kawaida na kumpendeza mungu au kupata maisha mazuri lakini ukakosa ufalme wa mbinguni, yote ni personal choice.
mie ndio maana nataka kujiole ka standard seven kangu napoa nacho safi. hamna makelele oh sijui nasoma masters or mara nimehamishwa mkoa. tabu ya nini. standard seven tulia hapo mie nakuhudumia nitakapo hama mkoa twende wote.
 
Mwenyezi Mungu ni mwenye huruma na humsamehe kila mja wake anaeomba toba, hao wazinzi kwakuwa hawajaoa na kuolewa waweke kwenye dua zako ukifanya ibada na wao waingie kwenye ndoa. Maisha ni mtihani rahisi lakini tunafeli kwa kukopiana notes wakati kila mtu ana swali lake.
 
Back
Top Bottom