Kwanini wanawake wanakuwa desperate na ndoa?

Kwanini wanawake wanakuwa desperate na ndoa?

Kuna kipindi nilikuwa na girlfriend wangu, akanicheat na jamaa flani. Tukagombana ila nikagundua sababu ni alikuwa ana hamu sana ya kuolewa na mimi nilikuwa bado sijasettle na jamaa lilimdanganya litamuoa, basi nikabariki kumuachia kiroho safi ingawa niliumia! Kweli akaolewa maisha yakaendelea ila hakuacha kunitafuta e.t.c.

Sasa likizo hii nimekuja kusalimia akasikia nipo, kaanza kunisumbua anasema anataka nimpatie japo mara moja maana tangu aolewe hana raha yoyote zaidi ya ile heshima tu kuwa kaolewa, ila nikicheki mshkaji alivyo sioni kama anayosema huyu mwanamke ni kweli.

Sasa anasumbua hadi imekuwa kero na ubaya mji huu mdogo sana na anajuana na friends wangu wa zamani so hata nikimkwepa bado kuna mtu atamuambia tu nipo mahali gani nakunywa bia e.t.c nashangaa mtu katimba.

Wanawake huwa wanasukumwa na nini kuolewa haraka halafu wanajuta?

Nakumbusha tu MKE WA MTU NI SUMU,
Kunywa maziwa haina noma
 
Hahaha
Yaan una niweka rehan mwenzio hiv hivi.
Ntajipiga piga nihakikishe anatulia
We mwanaume bwana, huwa wanasema mwanaume hashindwi na jambo(sijui ni kweli).
Huyu mcharuko lazima akili ikukae sawa,ila kazi za ndani jiandae kuweka HG maana hata vyombo hawezi kuosha.
 
We mwanaume bwana, huwa wanasema mwanaume hashindwi na jambo(sijui ni kweli).
Huyu mcharuko lazima akili ikukae sawa,ila kazi za ndani jiandae kuweka HG maana hata vyombo hawezi kuosha.
Hahaha
Sasa huyo hajasoma na kaz hajui, hebu tuendelee kutafuta mwingine
Kwanza maana huyo ni jipu
 
Hahaha
Sasa huyo hajasoma na kaz hajui, hebu tuendelee kutafuta mwingine
Kwanza maana huyo ni jipu
Kwani we unataka mfanyakazi au mke?
Vingine vitafanywa na wafanyakazi, teh teh teeeeh!!

Ila kwani tatizo lako na wasomi ni nini?
 
mhh! maisha ni popote na mkijielewa yanaenda ila tamaa zikianza pabaya hapo..
 
Mila na desturi zetu za kitanzania zinathamini ndoa na kufanya ndoa kuwa kitu cha thamani na kutazamiwa sna, ss hawa kina dada wakivuka umri flani panakuwa na pressure kutoka kila upande kwa wao kuolewa. kuanzia ndugu na jamaa, dini, hadi biologia ya miili yao
 
Kwani we unataka mfanyakazi au mke?
Vingine vitafanywa na wafanyakazi, teh teh teeeeh!!

Ila kwani tatizo lako na wasomi ni nini?
Hahahaa
Mke sasa asije kulala tu, ningekuwa nataka gem tu hata sinza au buguruni napata, awe ana weza kaz.

Wanawake wasomi kwa kweli heshima sifuri, halaf wanapenda kuolewa na kazi pia
 
Hahahaa
Mke sasa asije kulala tu, ningekuwa nataka gem tu hata sinza au buguruni napata, awe ana weza kaz.

Wanawake wasomi kwa kweli heshima sifuri, halaf wanapenda kuolewa na kazi pia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hivi usomi unaanzia digrii ngapi?
 
Back
Top Bottom