Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

Status
Not open for further replies.
SWEET LADY.. no one forced you to be with them, katafute wasiopenda pesa ukae nao
kwanza hata sisi wamachame hatuwapendi nyie wa makabila mengine huwa mnajipendekeza tu kutufuatafuata ...mara ooh mim natakamachame girl i know will make life oohh shit , ukiona tunawakubali ujue basi tu wakwetu hajatokea its a second choice

mnatuboa sana ndio maana mimi nimeamua kuwaambia ukweli jinsi msivyotupenda sisi ni mara mia yenu ths why we called u vyasaka.. mwanaume anakuoa hana hata akili ya kuzungusha hela wala nin akishanunua mboga kaona kamaliza kazi kucha kukaa barazani mnadhani tunawapendaga ....no meen na tutawapelekesha san mpaka muache kulazimisha ndoa na machame girls, hapa kazi mwanzo mwisho ukileta mzozo sijui hupigi kazi tunpiga chini faster.. unakuja kutongoza huna kazi sijui dei.wa.ka no men huowi mtu..............

hutoi matumizi home ukirudi kichapo mbona mtanyooka tu nyie mnaopenda anga zetu ... viva machame crew hope mwifonisha wose lakaneni na wandu wa urere ruyeni ilekh muri
 
Mmh!jamani!mbona mnawaandama watu kwa sababu za kutunga?hizo ni kasumba ambazo watu wamejijengea kuhusu watu flani,ila mi naamini tabia ya mtu ni yake binafsi na sio ya kikundi cha watu!
muongo we, una interest zako......
 
lakini leeeeeee bana aaaaaaaaaaaaaaa luende uye lurudi wandaaaaaaaaaaaaaaaa ruwa nawatarama mkeri necha woseeeeeeeee amba nkiki kuanzia wanda muishi shindu shila muishi nenguo 7*8 ngiichi nacho nelalamika hia ila leeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee lurudi nyuma seeeeeeeeee wai ngiamba loi na kukonikunda ngikunde koniwaya ngiwaye tupu kuore mondu ngiamba ma ruwa naichi mkundi utani kabisa kabisa hasa kokuta mume wofo naore mali ngiamba neshaaaaaaa mpaka nasikie naiwashwa matulu

He he he,umenifurahisha mno...shukrani sana!
 
Hawa ni wauaji aisee.
Anko wangu alikua na mkwanja wa kutosha sana,mke akamkodia majambazi wakaja kumkata mapanga tena nje ya geti anko wakati anapaki gari.

Wakati tunazika mke akajifanya analia saana kumbe yeye ndo muhusika.

Alijifanya kudai maiti akazike kwao tukamtalia.

After 2 wks akapeleka shauri mahakamani kudai yeye ndio mrithi wa mali zote.

Kilichokuja kumuumbua jambazi mmoja alidakwa akaeleza yote kuwa alipea ten millions kwa kazi hiyo ya kuua tu.

Wanaume tuwe makini wamachame hawafai tena hawafaaaaai kabisaaaaa.

Kama ni lazima kuoa mchaga basi oeni wa marangu,mwika,rombo.
 
Tamaa ya mali aisee,mbaya sana hii....huko wanaoa wenye mioyo migumu,sasa amefungwa au nako umachame ulimsaidia??
 
Wamachame mbona kazi yao ndogo!hao wanawake watafutiwe wanaume wa AL SHABAAB waache kuringa
 
Tamaa ya mali aisee,mbaya sana hii....huko wanaoa wenye mioyo migumu,sasa amefungwa au nako umachame ulimsaidia??

Tulimuweka ndani ila kwa pesa ambayo anko alikua kaacha huyu demu akapenyeza rupia mahakama ikamuachia.
 
Nilitegemea hilo,manake hakuna kushindwa aisee kwa wamachame....Uncle amepumzika kwa amani, kwa kuwa kila nafsi itaonja mauti hayo muachieni Mungu,nyie tendeni yaliyo mema na si ku-judge wamachame...!
 
Hawa ni wauaji aisee.
Anko wangu alikua na mkwanja wa kutosha sana,mke akamkodia majambazi wakaja kumkata mapanga tena nje ya geti anko wakati anapaki gari.

Wakati tunazika mke akajifanya analia saana kumbe yeye ndo muhusika.

Alijifanya kudai maiti akazike kwao tukamtalia.

After 2 wks akapeleka shauri mahakamani kudai yeye ndio mrithi wa mali zote.

Kilichokuja kumuumbua jambazi mmoja alidakwa akaeleza yote kuwa alipea ten millions kwa kazi hiyo ya kuua tu.

Wanaume tuwe makini wamachame hawafai tena hawafaaaaai kabisaaaaa.

Kama ni lazima kuoa mchaga basi oeni wa marangu,mwika,rombo.

Umeona hawa ni watu na si binadamu, maana kati ya wanawake wa kimachame kumi binadamu ni mmoja. Sina hamu nao kabisa,walishaithuru familia yetu pia.nilipata karembo kamoja kaliponitajia ni kamachame nikakapiga chini fasta.
 
me namjua mmoja anakaa kimara resort jina namuhifadhi ile ipo siku hapa jamvini nitawaja coz hawana roho za ubinadamu.nikiwa hospital nimelazwa kwa ajili ya kujifungua hakuja.akajidai kuja wakati nimeshatoka hosptl vile vitu sijavitumia mpaka leo nasubiri tu siku moja nimrudishie coz alichangia sana kwa mtt wangu kufa.na menngine mengi kwakweli wanawake wa kabila hili ni waajabu sana.ss kabila letu ukisema unaoa mmachame unatengwa kabisa.washenzi sana watu wa kabila hili

hahahaha, kweli we kizibo, ingawa mada ni ya muda ila ndio naona ujinga wako leo, sioni ulazima kwa huyo mama kukutembelea ukiwa hosp, umeongea utumbo tu, yaani we inaonekana unapenda mambo ya kinafikinafiki, vikao kao vya kimbea. pole lazima uwachukie wamaachame kama akili yako ni boga nyanya.
 
SWEET LADY.. no one forced you to be with them, katafute wasiopenda pesa ukae nao
kwanza hata sisi wamachame hatuwapendi nyie wa makabila mengine huwa mnajipendekeza tu kutufuatafuata ...mara ooh mim natakamachame girl i know will make life oohh shit , ukiona tunawakubali ujue basi tu wakwetu hajatokea its a second choice

mnatuboa sana ndio maana mimi nimeamua kuwaambia ukweli jinsi msivyotupenda sisi ni mara mia yenu ths why we called u vyasaka.. mwanaume anakuoa hana hata akili ya kuzungusha hela wala nin akishanunua mboga kaona kamaliza kazi kucha kukaa barazani mnadhani tunawapendaga ....no meen na tutawapelekesha san mpaka muache kulazimisha ndoa na machame girls, hapa kazi mwanzo mwisho ukileta mzozo sijui hupigi kazi tunpiga chini faster.. unakuja kutongoza huna kazi sijui dei.wa.ka no men huowi mtu..............

hutoi matumizi home ukirudi kichapo mbona mtanyooka tu nyie mnaopenda anga zetu ... viva machame crew hope mwifonisha wose lakaneni na wandu wa urere ruyeni ilekh muri

cool, wamachame waalimu, hawataki wanaume mazoga, yaani mwanaume yupo ndani kama maiti, hafikiri kitu chochote ili mradi siku ipite, hana malengo wala mikakati, kwa kweli hilo halitakubaliwa na wamachame kipigo kitatembea hadi akili iwe sawe. kama unafahamu kuwa wewe ni mwanaume usiye na ndoto ya maisha, legelege, mswahili fulani, usijaribu kuoa machame
hatutaki kabisa matahaira machame.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom