Hivi ni kwanini wanawake wanatuomba hela?

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Hapa na umiza kichwa sana, ni kwanini wanawake wanatuomba hela sipati majibu kabisa

Awe sio mkeo anaomba hela

Awe ni mkeo anataka hela

Awe ni rafiki wa kike anaomba hela

Awe ni mpenzi au mchumba anaomba hela

Awe hata ndo umetoka mtongoza anaomba hela

Ni kwanini basi wanawake wanatuomba hela sisi wanaume , hata akiwa na kazi atomba hela haijalishi ana hela nyingi bado ata omba na akiwa hana kazi ataimba hela na papuchi atatafuta namna akupe ili aendelee kukuchuna.

Je, ni kwanini?
 
Hawa watu wamelaaniwa
 
420173353_373078478973476_8078359890078341355_n.jpg
 
Back
Top Bottom