theodic msoka
Member
- Dec 14, 2022
- 9
- 24
Wanawake wasasa…
Jamani kwanini wanawake wamekuwa wakatili hivi ukigombana nae tu anakushafisha vitu vyote na bado anahitaji matuzo ya mtoto, serikali imewakingia kifua wamekuwa na kiburi sana.