Kwanini wanawake wa aina hii hawaolewi?

Kweli kabsaa mimi nishuhuda wa hilo aisee yupo prof wetu hapa chuon kwetu kaoa mdada wa form four tena ni mama wa nyumbani halafu ni mzur kinoma
 
Me moree swireeharti"
My sweetheart siyo kwa kunitamanisha huku jamani![emoji1][emoji1][emoji1]........Natamani tuufute urafiki wetu ili tuingie kwenye mambo yetu yale![emoji53]
 
Walimu wa kike hasa shule za msingi na sekondari. Wanaume tukisikia jina mimi ni mwl basi tunaamini huyu atakua mpole, anajua kelea, mvumilivu, ana lugha nzuri. Ukishamuoa na kuweka ndani unakuta yupo tofauti na ulivyo tarajia. Unakuta ni malaya, mlevi, domo chafu nk basi unaamua kupiga chini.

Ndio maana walimu wengi wa kike ni ma single mom.
 
My sweetheart siyo kwa kunitamanisha huku jamani![emoji1][emoji1][emoji1]........Natamani tuufute urafiki wetu ili tuingie kwenye mambo yetu yale![emoji53]

Jamaniii si wajua mimi na vijana ardhi na mbingu?
 
Umemgusa kumoyo.[emoji12]
Inawezekana naye ni mmoja wao.
"Swamahani lakini"(in shilawadu voice)[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…