Kwanini wanawake huwa wanapaka makeup?

Imagine!🤣

Ila kweli kuna muda unakutana na aina za wateja mpaka unajiuliza hivi huyu anataka kulipua uso😂

We utakuwa ulikuwa unawatafutia zilizodhibitiwa aisee!!
Wanawake wa Mbeya ndio wanajilipua nyuso kweli.
 
Imagine!🤣

Ila kweli kuna muda unakutana na aina za wateja mpaka unajiuliza hivi huyu anataka kulipua uso😂

We utakuwa ulikuwa unawatafutia zilizodhibitiwa aisee!!
Anakuja binti mweupe mtaa mzima anasema kabisa hizi sio kali lete karatasi nikuandikie, zikija uzificha unazitoa kwa siri, 🤣 sasa hapo tunatafuta noti haina jinsi ni kufata tu matakwa ya wateja ila unabaki na maswali mengi.
 
Na zina pesa sio poa! Wateja hawataki rangi zetu hizi, aisee😂
 
Reactions: Lax

NGoja nisake mtaji huko mwanza soko lipo sana, haya madude wanatumia wote bila kubagua, 😁 mkishaanza kuyatumia. Kuyaacha ni ngumu. Sana
 
Sawa nipo hapa misungwi, sina kazi ukipata mtaji we niajiri tu mimi halafu we baki huko mjini, nikuunguzie kijiji kizima ngozi, nakutumia faida huko ulipo😎
 
Nachukua mkopo next week mkuu 😁
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…