Simba bingwaHapa secretarybird hajamuita shogaake Chizi Maarifa kumpaka makeup lakn kadamsh hata, atakuwepo leo uwanja wa uhuru
Amemuonea sana, nadhani zoezi la contwnt kwa siku hiyo liliishia pale 🤣Kwanini amfanyie hivyo😂
Hawajali lakini ndio wanaoongoza kuwaspoil wanaopaka vitu fake sasa👌🏽Nafikiri wanaume wengi wa bongo hawajali makeup, wanajali zaidi makalio na rangi.
Alimbana kwenye ukweli wa mambo😂Amemuonea sana, nadhani zoezi la contwnt kwa siku hiyo liliishia pale 🤣
Sema mkuu hizi poda poda msiache mazima, ziwe za wastani flaniAlimbana kwenye ukweli wa mambo😂
Mimi sipaki na hakuna kitu mtanifanya😎Sema mkuu hizi poda poda msiache mazima, ziwe za wastani flani
Pokea maua mkuu,, ni lazima uwe vyemaMimi sipaki na hakuna kitu mtanifanya😎
Unachekesha chakula kinakaa juu ya lips? Njoo nikuoneshe kwanza…Wale wanaopaka lipstick huwa wanakulaje?
Sina uvyema wowote na nina amani tu🤣Pokea maua mkuu,, ni lazima uwe vyema
Wanahofia kuwa bila make up hawatoboi..
Na kwa sasa kuna make-up ya NYASH!
Unamkuta ana mzigo wa kwenda, ukimvua unagundua ni feki
Si kweli, au mwanza bidhaa hizi hazifiki? 🤣Sina uvyema wowote na nina amani tu🤣
Zinafikaa😁Si kweli, au mwanza bidhaa hizi hazifiki? 🤣
Ngoja nitafute mtaji niwahi huko mwanza, hata huku mwanzoni walikua wabishii wabishi, lakini sasahivi imeshakua Balaa 😁Zinafikaa😁
Sema kwenye sherehe ndio tunaforce na sisi sura za baba, ila tofauti na hapo tnakomaa tu hakuna jinsi😝
Unataka kuja kutuuzia bidhaa fake na wewe?Ngoja nitafute mtaji niwahi huko mwanza, hata huku mwanzoni walikua wabishii wabishi, lakini sasahivi imeshakua Balaa 😁
Shida sio muuzaji 😁, mnunuzi ndo anampa muuzaji kazi ya kutafuta zilizopigwa ban, kuna nyakati nilikua shop nasogeza siku.Unataka kuja kutuuzia bidhaa fake na wewe?
Imagine!🤣Shida sio muuzaji 😁, mnunuzi ndo anampa muuzaji kazi ya kutafuta zilizopigwa ban, kuna nyakati nilikua shop nasogeza siku.