Kwanini wanawake hawawapendi ndugu wa mume?

Kwanini wanawake hawawapendi ndugu wa mume?

Yaaan hii kitu ipo sanaaa mm niliachanaa na mchumbaa anguu kisaa kachukia mm kumsomesha Mdogo wangu shule ya private eti niachee aende serikalin alikofaulu niweke pesaa nimlipie mahal na tuanze maishaa hapo aligusaa pabayaa sanaaa maana nampenda Mdogo wangu kuliko ninavyojipendaa mm kutokana na historia yake ya kukosa malez ya baba ambayo sisi tuliyapata na kufurahiaa yy alizaliwa akiwa na miaka 2 mzee akafarik
Ulifanya vizuri sana mkuu.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Kwa utafiti mwingi nilioufanya japo sina data za kupresent hapa lakini kuna haka katabia cha wanawake wengi walioolewa kutowapenda ndugu wa mwanaume hasa linapokuja suala la kuwasaidia kifedha na hata kimawazo.

Hua wanaonyesha waziwazi kuchukizwa endapo mwanaume ataamua kuwasaidia ila ikitokea ndugu zake ndo wanaitaji msaada iyo siku utapigiwa kelele na ata papuchi hutopewa kamwe.

Je tatizo ni nini wadau maana wengi wao wapo ivyo?
Ninadhani suala hili ni vema tukajiuliza kwa mapana na kutazama pande zote. Je, vipi hao ndugu wa mume, wao wanawapenda mashemeji/mawifi zao? Tukiacha ubinafsi kifikra, utagundu shida zipo pande zote. na chanzo ni utamaduni. tukitaka yapungue, tuwe kama wazungu. kila mtu na life yake.hakuna cha kaka wala dada kumtegemea mwenzake. mnajuana kama ndugu tu, maisha kila mtu kimpango wake.

kuishi kijamaa ndo huleta mgongano wa kimaslahi.ndugu wanaona shemeji/wifi/mkwe anawabania; hawajui ndugu yao sasa ana mke, kuna mipaka. bado hudhani wanaweza kufanya watakacho kwa ndugu yao, hasa kwenye uchumi; na bibie anaona nyumba yake inaingiliwa, hapewi uhuru ajimwage na kutumia na mumewe.
 
Back
Top Bottom