Diva ni suala la ubinafsi zaidi, kujali kinachomuhusu yeye zaidi, ndugu wa kiume mmoja tu anaweza kuelezwa anaharibu bajeti ya familia lakini wa upande wake wanaweza kuwa hata watatu lakini isielezwe wanaharibu bajeti ya familia!!Ni asili kwa mwanamke kujifikiria yeye zaidi, hata sehemu za kupaki magari mwanamke anaweza kuta space ya kupaki gari mbili akaweka la kwake katikati...atawaza kuhusu yeye kupata parking baaaasi na asifikirie kuhusu mtu mwingine akija atakosa nafasi!!!!Si akili yake wala utashi wake au tabia yake....ni asili....kama unajisikia kulaumu yeyote kuhusu hilo...Mlaumu Mungu aliyewaumba hivyo......kama utaweza kumlaumu Muumba!