Kwanini wanawake hawawapendi ndugu wa mume?

Kwanini wanawake hawawapendi ndugu wa mume?

Kwahiyo kukwambia usimsomeshe mdogo wako ndio kujali familia yenu? Kuna kufa utapata mwingine aijali hiyo familia lakini dogo hawezi pata kaka mwingine amsomeshe
Sijaongelea swala la kumsomesha mdg mtu... nmeongea general.
kama unadaiwa ada ya mtt na ya mdg wako utamlipia yup kati ya hao????
 
Kwahiyo kukwambia usimsomeshe mdogo wako ndio kujali familia yenu? Kuna kufa utapata mwingine aijali hiyo familia lakini dogo hawezi pata kaka mwingine amsomeshe
Hata mwanao hatopata baba mwingine wa kumsomesha.
Kwasbb tu ulikuwa unanyanyaswa basi usichukulie wanawake wte wako hvyo.
 
true,ila mimi kwetu na mume wangu nyumba yetu iko kama hospital leo kaja huyu mara yule,na nadhani kinachonisaidia
ni kua nafanya kazi natoka home by 0630 hrs narudi 1630hrs nikirudi busy na studies za watoto kupika mpaka nikimaliza ni 2030hrs kusimamia kids wa Sali mpaka wakilala 2100hrs hoi sina mda kabisa wao tunakutana kwenye chakula au siku niko off ndio tutapiga story ndefu lakini weekdays sina mda kabisaaaaaaaaaaa,nadhani hiyo pia ina changia....
Una bahati

Ingekuwa unashinda home................

Halafu upate hawafanyi kazi tv waharibifu ungefurahi (regardless ni ndugu wa mume au wa kwako)
 
mwanamke mpumbavu,mbinafsi na mchoyo ndo atachukia ndugu za mume

na mwanaume mpumbavu atachukia ndugu za mke
Watu wote waseme amina

Halafu chakula ni mavi tu wacha waleeee mpaka wajinyee

Ila tu marufuku kutupa chakula....
Na kazi washiriki
Adabu itawale
Sheria za nyumba zifuatwe
Na umbea marufuku
 
Ni mara chache kwa mume kuchukia ndugu za mkewe, labda km amebaini wanaingilia mambo ya ndoa yake
 
Una bahati

Ingekuwa unashinda home................

Halafu upate hawafanyi kazi tv waharibifu ungefurahi (regardless ni ndugu wa mume au wa kwako)
Naona ningekua na wazimu naona manake ningekua mbea hatari..lol lakini mchezo wote nataka ila kuwakaripia na kuwasemea wafanyakazi mbovu sipendi tena tutagombana,wakije wake na yao sio kuni haribia,na wanajua kwa bibi yule tuna kwenda ila sijui mfanya kazi sijui kala sana sijui useme yeye ale dagaa wao wale kuku hapo hatuelewani..
 
Watu wote waseme amina

Halafu chakula ni mavi tu wacha waleeee mpaka wajinyee

Ila tu marufuku kutupa chakula....
Na kazi washiriki
Adabu itawale
Sheria za nyumba zifuatwe
Na umbea marufuku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ameennn!!

umbea mwisho kwenye gari ya kutoka kijijini kwenu kuja kwangu...
ukifika kwangu heshima ni taadhima
 
true,ila mimi kwetu na mume wangu nyumba yetu iko kama hospital leo kaja huyu mara yule,na nadhani kinachonisaidia
ni kua nafanya kazi natoka home by 0630 hrs narudi 1630hrs nikirudi busy na studies za watoto kupika mpaka nikimaliza ni 2030hrs kusimamia kids wa Sali mpaka wakilala 2100hrs hoi sina mda kabisa wao tunakutana kwenye chakula au siku niko off ndio tutapiga story ndefu lakini weekdays sina mda kabisaaaaaaaaaaa,nadhani hiyo pia ina changia....
ndo wanatakiwa tuishi na hvyoo yaani
don't give them space to interference deep in ur life
 
Ndugu wa mume wanazidi kufatilia maisha ya kaka zao Over
Ulitaka maisha ya kaka yao yafatiliwe na ndugu wa mke??? Mbona wewe unafatilia ya kaka zako kwa maslahi ya wazaz wako na wadogo zako?? Acheni ubinafsi. Fyuuuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ameennn!!

umbea mwisho kwenye gari ya kutoka kijijini kwenu kuja kwangu...
ukifika kwangu heshima ni taadhima
Haswaaaaa

Halafu wajue kuishi na mtu

Jamani kawaida ukienda nyumbani kwa mtu isome nyumba.....jitume kazi....... heshima iwepo...kama wana madhaifu yao waachie wenyewe wahangaike nao....

Sio mtu anafika kwa ndugu (haijalishi wa mume au mke) full umbea na majungu...yeye ndio anakuwa ripota wa matukio anayapeleka live kijijini....

Mvivu mchafu kuamrisha wasaidizi...kuharibu ratiba....kushinda kwenye tv asubuhi hadi jioni mpaka kochi linapata moto....kiburi jeuri matusi dharau...na kujipambanisha na maza hausi


Mweh mweh
 
Haswaaaaa

Halafu wajue kuishi na mtu

Jamani kawaida ukienda nyumbani kwa mtu isome nyumba.....jitume kazi....... heshima iwepo...kama wana madhaufu yai waachie wenyewe wahangaike nao....

Sio mtu anafika kwa ndugu (haijalishi wa mume au mke) full unbea na majungu...yeye ndui anakuwa ripota wa matukio anayapeleka live kijijini....

Mvivu mchafu kuamrisha wasaidizi...kuharibu ratiba....kushinda kwenye tv asubuhi hadi jioni mpaka kochi linapata moto....kiburi jeuri matusi dharau...na kujipambanishq na maza hausi


Mweh mweh
heshima lazima iwepo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwanamke ukimdekeza atakupanda kichwani.
Kwa mfano anakuja ndugu yako anaomba msaada na uko tayari kumsaidia unakuta mwanaume na akili zako unamficha mkeo. Unategemea nini??

Tena kama msaada wa pesa utasikia twende nkakupe kule hapa huyu mwanamke akijua itakuwa balaa. Unamuogopa mkeo??

Unachotakiwa kufanya ukiombwa msaada na ndugu yako msaidie mbele ya mkeo sio kufichaficha mambo. Mfano mimi jana nimeombwa msaada wa pesa kidogo na ndugu yangu nilichofanya nikampa pesa wife nenda kamtumie kwenye sim.........mwenyewe kaenda na hakuna kesi wala malalamiko.
 
Nikisoma coment zako haoa nakaribia kutokwa na machozi, sisi tulikuwa tunawekwa pending, watoto wananda kuchukua chips wanazama vyumbani wanapiga zao zegeeee, alafu tulikuwa na ndugu wa mke, wanaitwa chumbani kwa dada yao wanashikishwa mtonyo, sisi tunasubiria rehema za Mungu.

Hapo mtaekewa plate moja makoko ya wali, mnapiga tonge mbilimbili mnajiramba mnasepa. Haki ya Mungu yule mama watoto wake wote wameramba zero form 4, ndugu zake mji umewashinda wamerudi kwao, maisha yamekuwa tight mbaya. No future at all.
Laana hzo na kutokujielewa msosi sio wakumnyima mtoto au watu wazima, hafu wamama wengi wa hivo wanao huwa vilazer kila sehemu sio darasani wala maishani. Hizi roho mbaya bila kufikiria kesho huwa cost wengi.
 
Namuomba mungu ikitokea nikatofautiana na ndugu wa mme wangu basi anisamehe ilaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa huyu mwanamke ambae atakuwa ameniletea mme duniani a.k.a ma mkwe nisitofautiane nae maana ni mwanamke pekee duniani atakaekuwa amenizalia mme. Mungu nisaidie.
Utakuwa mke bora sana. Mungu akujalie kipenziiiii
 
Back
Top Bottom