Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,431
- 191,695
True story bro!Wanaume wenye mapenzi ya dhati wanabore.... hawana amsha amsha... kwa mujibu wa wanawake wasemavyo wao.
True story bro!Wanaume wenye mapenzi ya dhati wanabore.... hawana amsha amsha... kwa mujibu wa wanawake wasemavyo wao.
Mauaji tu, hapo demu humtoi! Atakuona unamzingua tuHalafu awe ana crown athlete ya kuazima hapo inakuaje?
🤣🤣🤣🤣🤣 tako la nini?Nazungumzia serious kweli kuna mdada yule nimepewa sifa zote kwamba CV yake ipo vizuri hata moyoni nasikia hivyo sema ndo hivyo hana tako sasa hilo limekua tatizo kubwa sana...kwangu mimi
Kila mtu na Fantasy yake ndugu🤣🤣🤣🤣🤣 tako la nini?
🤣🤣🤣🤣🤣 nakubali bobKila mtu na Fantasy yake ndugu
Mimi mwanamke asiye na mzigo dooooooooh! Kwa taaaabu naweza piga.🤣🤣🤣🤣🤣 nakubali bob
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hata mimi isipokuwa tu akiwa na rangi ya ndizi kisukari na mguu mnene. Lazma nipige tu!Mimi mwanamke asiye na mzigo dooooooooh! Kwa taaaabu naweza piga.
Kwenye kuambiana ukweli hapo ndo huwa tatizo. Unamwambia mtu ukweli hakuelewi, anaona unamdanganya ushapata mtu mwingine. Ukipata mtu mwingine wapo ambao watafanya jihitahada zote za kukuharibia huko huko.
Lazima akae humo hahaha...Mauaji tu, hapo demu humtoi! Atakuona unamzingua tu
Bob tako lazima liwepo kimtindo hata ukimnunulia nguo boutique litokelezee...🤣🤣🤣🤣🤣 tako la nini?
Hahah nakubali baharia wangu, tako kitu adimu sana aisee.Bob tako lazima liwepo kimtindo hata ukimnunulia nguo boutique litokelezee...
Na wanapokua wajeuri ukiwakanya upo uwezekano wakahisi unawanyanyasa.Inawaka moto si kidogo ndg yangu tunaweka ujasiri tu.
Halafu ukute vitoto vyenyewe vijeuri
Uko kama mimi, maana mi huwa sisamehi mtu bali nasahau koo nikimuona alieniumiza lazima nijilipiziemkuu upo fresh Sana ingekuwa Kama Mimi ni lazima alipe kwa kile alichonitendea maana nachofahamu Kila ufanyacho kina matokeo fulani Hivyo ambacho ningemfanya ingekuwa ni matokeo ya kile alichonitendea!!.. maana Kuna binadamu wanajifunza kuishi badala ya kuishi.
Hivi huo msemo wa " karma is bitch" huwa unamaanisha nn?F*ck krma
Ukiianzishia uzi nitag mkuuAjabu kabisa, mi kuna mmoja aliniambia kabisa 'mi sikuwezi wewe ni mnyonge nitakuwa km nakuonea!', nilishangaa kweli. Ukiangalia kisa cha kusema hayo yote ni baada ya kuanza kumjali rasmi.....huko mwanzoni hats sikuwa namfikiria sn na nilikuwa a bit aggressive lkn alikuwa msikivu na anaefanya kila nachomwambia. Nilipomwelewa na kutaka kumuonyesha namna gn namjali, aisee hicho ndicho nilichoambulia na alitoka mbio kweli......sasa yupo na mwingine! Nashukuru hakunisababishia hasara yoyote ya kifedha zaidi ya vijihuduma vidogovidogo tu. The highest amount niliyowahi kumpatia n 70k tu basi wakat naye amenipa huduma nyingi tu mpaka mojawapo naifikiria kuianzishia Uzi Siku moja!
Yah,nikianza wanakimbia wote mama atakusanya wanae wote anaenda kujifungia nao. Bro kibanda chenyewe nimejengaNa wanapokua wajeuri ukiwakanya upo uwezekano wakahisi unawanyanyasa.
Hahhhahhhahhaa.. mmmmh.. kuhusu tako kushuka baada ya kuacha zoezi sijawah kusikia.. labda litapungua flani.. wanaotumia madawa na operation mbovu mbovu ndo yanawashuka baadae. Mantainance is the key.. kwann uache mazoezi sasa? Labda kupumzika then unarudia. Na si lazima kilasiku.Akiacha kwenda si ndio linashuka ka aliyeng'atwa na nyigu juu ya muembe!?
Mkuu umetisha sana kwa ushauri wako hujabakiza kitu, wadada wengi ndivyo walivyo ila wakifika 30yrs ndio wanaaza kutafuta wale wanaume wenye kujielewa, wakikosa wanaenda kwa yeyote. Wakati bado binti wa miaka 20 hivi ukimshauri kuhusu kuachana na masharobaro anakuletea kakingereza chake Oooh! I love him very much he is so chaming and hb.Baadae wanavuna walichopanda.Kawaida sana,wanawake wengi wanawapendaga wale pasua kichwa,mwisho wa siku wanaangukaga sehemu mbaya sana.
Mimi nina mtoto wa Mama yangu mdogo ,tulikuwa tunakaa nae home,alitaka kufanya upuuzi kama huo,kulikuwa na vijana wawili mmoja jamaa namjua ni fighter hana hela nyingi kivile lkn anajua kutafuta hela wapili jamaa mmoja sharobaro sound nyingi full vimodo.
Sasa yy alikuwa anampenda huyu mvaa vimodo,nilivyoona kwanza nika kaa nae chini nikamwambia katika wale wanaume wawili anayekupenda kweli ni yule fighter,huyu mvaa vimodo atakuharibia maisha na nilibidi niwe KUWADI kwa yule jamaa figher huku nikimkazia yule mvaa vimodo asipate nafasi za kuonana na dada yangu mixer kumpiga mikwala.
Kweli nilifanikiwa na jamaa baada ya mwaka kaleta mahari,wamefunga ndoa.Sasa huyu mvaa vimodo kaenda kuvunja ndoa ya mtu,jamaa kamwacha mke wake,yule mke akaenda kupanga na kuendelea na maisha yake,yule dogo akaamua akaseleleke ,kwa kuhamia kwa yule mke wa mtu na kasha mzalisha.Mtu mwenyewe kazi hana yupo yupo ana kazi ya kubadilisha nguo kama mkongo.
Sasa siku ndio nikamwita dada yangu nikamwambia kuhusu yule mvaa vimodo aliyekuwa anampenda,akabaki anacheka.
Dada zangu wanatuumiza wanapotembea na watu wa ajabu ajabu tabu tunapata sisi wajomba,bibi na babu, yaani mpaka hivi sasa kuna watoto wawili wa sister tuna walea sisi na ndio maana sikutaka itokee kwa mama yangu mdogo kwani maisha yake yenyewe na familia yake magumu.
Saa nyingine kaka unafanya kazi isiyo kuhusu ya UKUWADI ili umnusuru dada yako na ww usije beba majukumu yasiyo kuhusu.
Badilikeni muombeni Mungu awape jicho la kuwajua wanaume wa kweli,kwani vijana wengi siku hizi wanapenda sana NGONO,lakini hawapendi MAJUKUMU.