Kwanini wanawake hawapendi wanaume wenye mapenzi ya dhati?

Kwanini wanawake hawapendi wanaume wenye mapenzi ya dhati?

Hakua mtu sahihi kwako ila next time kuwa mwanaume mwenye msimamo hukua na haja ya kumkimbia mgahawani wakati mmeongozana nae pale

Cc Kingsmann
 
Ajabu kabisa, mi kuna mmoja aliniambia kabisa 'mi sikuwezi wewe ni mnyonge nitakuwa km nakuonea!', nilishangaa kweli. Ukiangalia kisa cha kusema hayo yote ni baada ya kuanza kumjali rasmi.....huko mwanzoni hats sikuwa namfikiria sn na nilikuwa a bit aggressive lkn alikuwa msikivu na anaefanya kila nachomwambia. Nilipomwelewa na kutaka kumuonyesha namna gn namjali, aisee hicho ndicho nilichoambulia na alitoka mbio kweli......sasa yupo na mwingine! Nashukuru hakunisababishia hasara yoyote ya kifedha zaidi ya vijihuduma vidogovidogo tu. The highest amount niliyowahi kumpatia n 70k tu basi wakat naye amenipa huduma nyingi tu mpaka mojawapo naifikiria kuianzishia Uzi Siku moja!
 
kwa hiyo unathibitisha ukimpenda mwanamke anakuona fala
 
kwa hiyo unathibitisha ukimpenda mwanamke anakuona fala
Kwa mantiki hiyo naweza kusema ndiyo, ingawa haitokei wakati wote na kwa wote kwani kuna wanawake flan hawawezi kuwaacha waume zao flan ht km wameolewa sababu kubwa ikiwa ni jinsi walivyokuwa wanawajali
 
Hakua mtu sahihi kwako ila next time kuwa mwanaume mwenye msimamo hukua na haja ya kumkimbia mgahawani wakati mmeongozana nae pale

Cc Kingsmann
yani nikisema nmemtoa mtu moyoni hata aje amekatwa kichwa kina ninginia ntaishia kumuona kituko badala ya kumuonea huruma,ni mtu mwenye huruma hamna mfano ila nkiumizwa au kutokukuamini tena huwez kuamin kama ndo yule uliyekuwa unanifaham
 
Nazungumzia serious kweli kuna mdada yule nimepewa sifa zote kwamba CV yake ipo vizuri hata moyoni nasikia hivyo sema ndo hivyo hana tako sasa hilo limekua tatizo kubwa sana...kwangu mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahhhahhhahhaa,yaani wewe unazidi kunchekesha Hapa.
Kama kweli umempenda na tatizo ni tako bas fanya namna aanze kwenda gym. Zipo workouts zinazosaidia kuexpand glute muscles (sijui ka nimepatia spelling)
Trust me utaona kiuno na tako vinaanza kukaa unavyopenda. It's serious. Awe tuu consistent.
 
Nadhani sababu ni wenye mapenzi ya dhati hua hawana hela..ni kama vile unakutana na wife material halafu hana tako..yani sijawahi kua na wakati mgumu kama huu wife material kabisa sema anakua hana tako..yani hana tako hata la kishkaji daahh...
Watapinga hapa[emoji13]
 
Mapenzi ya dhati hayana ishu ni yanaboa, katika mademu zangu anayenipenda sana ni huyu ambaye sijawahi hata kumnunulia PEDI.... simu ni lazima apige yeye akitaka salamu na akiomba kuja kugegedwa ahakikishe anayo nauli round trip.

Sijawahi kabisa hata kwa bahati mbaya kuwaza kumpa ndoa ila yeye ana imani hiyo, ukiacha ukabila unavyonitenga naye mipango yangu iko pengne kabisa ambapo nami nateseka kuaminisha upendo.... sina dhamira mbaya kwake ila ni maksudi kabisa kujifanya sijali nione itakuwaje.
Duuuh!. hataaar. Angejuaa.. achill tuu i say.
 
pole mkuu ,sijui km nimeilewa hii topic ila sometimes tunapenda wanaume physically aggressive as its a sign of security/protection.....ukiwa mpole ni sign ya weakness....

niliona mahali pia wanawake tunapenda bad boys sababu ya personalities zao..dont care attitude shows bad boy is not scared of life,which strangely this appeals to us..lol

Then inakuwaje mnapoachana na wanaume polite mkakutana na hao aggressive baada ya muda huona mateso na kutaka kurudi kwa mwanaume mpole!!
 
Asili ya Mwanamke ni kupenda sana na Mwanamme ni kutamani.

Ni sawa na kuchukua tochi yenye mwanga afu uimulike mchana kweupe kabisa, Je tochi itaonekana ina umuhimu gani hasa kwa kulinganisha na mwanga wa jua ulivyo na nguvu?

Mwanaume hupaswi kupenda sana kuliko hata unavyojipenda wewe mwenyewe ni kujipendekeza na utakufa kabla ya siku zako.
Wanawake wengi wanakufa na kuoza kwa mwanaume msumbufu ,mwanaume mnyenyekevu wanamtafsiri kama zoba yameshawahi kunitokea wakati nasoma chuo.
 
Mapenzi ya dhati hayana ishu ni yanaboa, katika mademu zangu anayenipenda sana ni huyu ambaye sijawahi hata kumnunulia PEDI.... simu ni lazima apige yeye akitaka salamu na akiomba kuja kugegedwa ahakikishe anayo nauli round trip.

Sijawahi kabisa hata kwa bahati mbaya kuwaza kumpa ndoa ila yeye ana imani hiyo, ukiacha ukabila unavyonitenga naye mipango yangu iko pengne kabisa ambapo nami nateseka kuaminisha upendo.... sina dhamira mbaya kwake ila ni maksudi kabisa kujifanya sijali nione itakuwaje.

Sio vizuri dada wa watu anajituma kwako wakati huna mpango nae unamcheleweshea muda wake siumuache tu uendelee na unaowapenda,usiwe mselfish kiasi hiki

Cc Kingsmann
 
Nadhani sababu ni wenye mapenzi ya dhati hua hawana hela..ni kama vile unakutana na wife material halafu hana tako..yani sijawahi kua na wakati mgumu kama huu wife material kabisa sema anakua hana tako..yani hana tako hata la kishkaji daahh...

Fact

Cc Kingsmann
 
yani nikisema nmemtoa mtu moyoni hata aje amekatwa kichwa kina ninginia ntaishia kumuona kituko badala ya kumuonea huruma,ni mtu mwenye huruma hamna mfano ila nkiumizwa au kutokukuamini tena huwez kuamin kama ndo yule uliyekuwa unanifaham

Yes unaweza fanya yote hayo ila guts za kumtamkia ulikosa mkuu ukaamua umkimbie

Cc Kingsmann
 
Habari,

Leo ningependa kushare nanyi kitu kidogo hasa kupitia mahusiano jambo ambalo sikuwahi kabla huenda nikapata ushauri na hata wengine kujifunza.
Kitabia naweza kusema ni moja kati ya wale wanaume ambao ukiwa nae una uhakika wa kuwa upo salama na upo peke yako.

Kwani uwapo na mahusiano nami uko huru kuja muda wowote kwangu kuhusu simu hata ukisema uondoke nayo we nenda nayo inshort ni muwazi mno,yote inatokana na maisha niliyoyaishi ya bila wazazi especially kwenye uyatima,hivyo nimekuwa nikithamini mno mahusiano ambayo nitaingia kwani huwa nawaonea mno huruma wanawake hasa ukizingatia tabu alizozipata mama yangu kabla ya kufariki nikiwa na miaka 7.

Hivyo nilijiapiza kuwa sitaumiza mwanamke au kumnyanyasa na niliweka kiapo kama nitapata mtoto sitopenda aishi maisha kama niliyoyaishi mimi.
Miaka mitano nyuma nilifanikiwa kuanzisha mahusiano na msichana kutoka mkoa wa Mbeya,kiukweli nilitokea mno kumpenda na nilikuwa loyal kwenye mapenzi yetu,baada ya miezi 6,tulifanikiwa kufungua biashara ya duka.

Biashara ilikwenda vizuri kutokana na uzoefu nlokuwa nao katika biashara,biashara ilivyokuwa nzuri nikapata bahati ya kwenda kujiongeza kielimu huku nikimuacha mwenzangu aendelee na biashara kwa minajili ya nikimaliza mwaka wa kwanza nikirudi tumalizie hatua nyingine za posa.

Kufupisha tu story ndani ya ile miezi minne ya mwanzo mwenzangu alikuwa ameanza kubadilika mno kiasi kilichoanza kunipa mashaka likizo ya kwanza ilipokwisha nilivyorudi hakuwa yule ambae ninamfahamu kimavazi na hata tabia.Kama mwanaume machale yakanicheza katika kuchunguza chunguza nikagundua kuwa mwenzangu tayari yupo na mtu mwengine nilimtafuta nikaongea nae kuhusu hilo alikataa kata kata pia akawa na jeuri mie bkasema siyo mbaya nikapotezea.

Likizo ilivyokwisha nikarudi zangu masomoni,miezi miwili baada ya kurud masomoni akawa hapatikani wala hana mawasiliano na mimi,Nilivyorudi nikakuta mali za duka zote zimeuzwa kiwanja tulichonunua kauza inshort alikuwa ameuza investment zote tulizokuwa tumeanzisha pamoja.

Hakika nilikonda na kutokea kukonda mno maana nilihisi future yangu imeharibika kabisa zaidi nilipopata habari kuwa anaishi na mwanaume mwengine na ni mjamzito,kutokana na company niliyokuwa nayo kwa dada zangu na hata familia niliteseka na nikakaa sawa nikaamua ku move on.

Aliendelea na maisha yake nami nikaendelea na maisha yangu hadi siku ya juzi nilipokutana nae kariakoo akiuza nyanya na mtoto mgongoni kariakoo.

Sikubahatika kumuona ila yeye ndiye aliyeniona kiukweli alikuwa akilia mno na kuwa kama movie pale sokoni huku akinisihi nimsamehe,kwa ambae ananifahamu ni mtu mwenye huruma mno lakini kila alivyokuwa akilia na kuniomba msamaha nilikuwa namuona kama katuni mbele ya macho yangu watu walinisihi sana nimchukue tukae sehemu tuongee ili kuepusha ile aibu pale,nikafanikiwa kumchukua mpka kwenye kimgahawa hakika aliyapitia mengi sana mateso na hata misukosuko na huyo aliyekuwa nae.

Baada ya maelezo mengi nilimsamehe na aliniomba turudiane tuwe kama mwanzo,Baada ya kuona yuko serious na hilo la kurudiana nikamuomba niende mara moja toilet nilivyofika toilet kuna jamaa nikamuagiza ampelekee elf 10 pale alipo ili alipie bili ya chakula mimi nilivyompotea wala hakujua wala sikumuaga.Kiuchumi siko vizuri sana but huwa najiuliza tu ni kwanini dada zetu mnapopata wabaume wenye mapenzi ya dhati huwa mnatuona kama wajinga?

Tambueni wengine tupo hivyo sababu ya maisha tuliyoyaishi.
Hiyo chai ongeza na mdalasini
 
pole mkuu ,sijui km nimeilewa hii topic ila sometimes tunapenda wanaume physically aggressive as its a sign of security/protection.....ukiwa mpole ni sign ya weakness....

niliona mahali pia wanawake tunapenda bad boys sababu ya personalities zao..dont care attitude shows bad boy is not scared of life,which strangely this appeals to us..lol
Kuna mmoja amechepuka sababu bwana ake mpole sana yanii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hiyo ndo sababu...Mumewe haongeii kila saa yupo kimyaa kiasi kwamba hata mke alipochepuka jamaa limwambia tu kuwa makini kuna magonjwaa mamaee imeishaa hiyooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] Mke anataka kudai talaka na anapewa kila kitu nikasema kumuelewa mwanamke aisee ni kazi sana[emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom