Kwanini wanawake hawapendi wanaume wenye mapenzi ya dhati?

Kwanini wanawake hawapendi wanaume wenye mapenzi ya dhati?

Mapenzi ya dhati ndiyo yapi mkuu, maana naona siku hizi mapenzi ya hivyo yalishakwisha.
 
Nadhani sababu ni wenye mapenzi ya dhati hua hawana hela..ni kama vile unakutana na wife material halafu hana tako..yani sijawahi kua na wakati mgumu kama huu wife material kabisa sema anakua hana tako..yani hana tako hata la kishkaji daahh...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mmoja amechepuka sababu bwana ake mpole sana yanii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hiyo ndo sababu...Mumewe haongeii kila saa yupo kimyaa kiasi kwamba hata mke alipochepuka jamaa limwambia tu kuwa makini kuna magonjwaa mamaee imeishaa hiyooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] Mke anataka kudai talaka na anapewa kila kitu nikasema kumuelewa mwanamke aisee ni kazi sana[emoji119][emoji119]
 
umenena
Kawaida sana,wanawake wengi wanawapendaga wale pasua kichwa,mwisho wa siku wanaangukaga sehemu mbaya sana.

Mimi nina mtoto wa Mama yangu mdogo ,tulikuwa tunakaa nae home,alitaka kufanya upuuzi kama huo,kulikuwa na vijana wawili mmoja jamaa namjua ni fighter hana hela nyingi kivile lkn anajua kutafuta hela wapili jamaa mmoja sharobaro sound nyingi full vimodo.

Sasa yy alikuwa anampenda huyu mvaa vimodo,nilivyoona kwanza nika kaa nae chini nikamwambia katika wale wanaume wawili anayekupenda kweli ni yule fighter,huyu mvaa vimodo atakuharibia maisha na nilibidi niwe KUWADI kwa yule jamaa figher huku nikimkazia yule mvaa vimodo asipate nafasi za kuonana na dada yangu mixer kumpiga mikwala.

Kweli nilifanikiwa na jamaa baada ya mwaka kaleta mahari,wamefunga ndoa.Sasa huyu mvaa vimodo kaenda kuvunja ndoa ya mtu,jamaa kamwacha mke wake,yule mke akaenda kupanga na kuendelea na maisha yake,yule dogo akaamua akaseleleke ,kwa kuhamia kwa yule mke wa mtu na kasha mzalisha.Mtu mwenyewe kazi hana yupo yupo ana kazi ya kubadilisha nguo kama mkongo.

Sasa siku ndio nikamwita dada yangu nikamwambia kuhusu yule mvaa vimodo aliyekuwa anampenda,akabaki anacheka.

Dada zangu wanatuumiza wanapotembea na watu wa ajabu ajabu tabu tunapata sisi wajomba,bibi na babu, yaani mpaka hivi sasa kuna watoto wawili wa sister tuna walea sisi na ndio maana sikutaka itokee kwa mama yangu mdogo kwani maisha yake yenyewe na familia yake magumu.

Saa nyingine kaka unafanya kazi isiyo kuhusu ya UKUWADI ili umnusuru dada yako na ww usije beba majukumu yasiyo kuhusu.

Badilikeni muombeni Mungu awape jicho la kuwajua wanaume wa kweli,kwani vijana wengi siku hizi wanapenda sana NGONO,lakini hawapendi MAJUKUMU.
 
Hayo ni madhara ya kumuonesha kuwa yeye ndo kila kitu, wewe mpende lakini sometimes inabidi umfanyie tukio mpaka akitaka kukukera anajifikiria mara 2.
 
Habari,

Leo ningependa kushare nanyi kitu kidogo hasa kupitia mahusiano jambo ambalo sikuwahi kabla huenda nikapata ushauri na hata wengine kujifunza.
Kitabia naweza kusema ni moja kati ya wale wanaume ambao ukiwa nae una uhakika wa kuwa upo salama na upo peke yako.

Kwani uwapo na mahusiano nami uko huru kuja muda wowote kwangu kuhusu simu hata ukisema uondoke nayo we nenda nayo inshort ni muwazi mno,yote inatokana na maisha niliyoyaishi ya bila wazazi especially kwenye uyatima,hivyo nimekuwa nikithamini mno mahusiano ambayo nitaingia kwani huwa nawaonea mno huruma wanawake hasa ukizingatia tabu alizozipata mama yangu kabla ya kufariki nikiwa na miaka 7.

Hivyo nilijiapiza kuwa sitaumiza mwanamke au kumnyanyasa na niliweka kiapo kama nitapata mtoto sitopenda aishi maisha kama niliyoyaishi mimi.
Miaka mitano nyuma nilifanikiwa kuanzisha mahusiano na msichana kutoka mkoa wa Mbeya,kiukweli nilitokea mno kumpenda na nilikuwa loyal kwenye mapenzi yetu,baada ya miezi 6,tulifanikiwa kufungua biashara ya duka.

Biashara ilikwenda vizuri kutokana na uzoefu nlokuwa nao katika biashara,biashara ilivyokuwa nzuri nikapata bahati ya kwenda kujiongeza kielimu huku nikimuacha mwenzangu aendelee na biashara kwa minajili ya nikimaliza mwaka wa kwanza nikirudi tumalizie hatua nyingine za posa.

Kufupisha tu story ndani ya ile miezi minne ya mwanzo mwenzangu alikuwa ameanza kubadilika mno kiasi kilichoanza kunipa mashaka likizo ya kwanza ilipokwisha nilivyorudi hakuwa yule ambae ninamfahamu kimavazi na hata tabia.Kama mwanaume machale yakanicheza katika kuchunguza chunguza nikagundua kuwa mwenzangu tayari yupo na mtu mwengine nilimtafuta nikaongea nae kuhusu hilo alikataa kata kata pia akawa na jeuri mie bkasema siyo mbaya nikapotezea.

Likizo ilivyokwisha nikarudi zangu masomoni,miezi miwili baada ya kurud masomoni akawa hapatikani wala hana mawasiliano na mimi,Nilivyorudi nikakuta mali za duka zote zimeuzwa kiwanja tulichonunua kauza inshort alikuwa ameuza investment zote tulizokuwa tumeanzisha pamoja.

Hakika nilikonda na kutokea kukonda mno maana nilihisi future yangu imeharibika kabisa zaidi nilipopata habari kuwa anaishi na mwanaume mwengine na ni mjamzito,kutokana na company niliyokuwa nayo kwa dada zangu na hata familia niliteseka na nikakaa sawa nikaamua ku move on.

Aliendelea na maisha yake nami nikaendelea na maisha yangu hadi siku ya juzi nilipokutana nae kariakoo akiuza nyanya na mtoto mgongoni kariakoo.

Sikubahatika kumuona ila yeye ndiye aliyeniona kiukweli alikuwa akilia mno na kuwa kama movie pale sokoni huku akinisihi nimsamehe,kwa ambae ananifahamu ni mtu mwenye huruma mno lakini kila alivyokuwa akilia na kuniomba msamaha nilikuwa namuona kama katuni mbele ya macho yangu watu walinisihi sana nimchukue tukae sehemu tuongee ili kuepusha ile aibu pale,nikafanikiwa kumchukua mpka kwenye kimgahawa hakika aliyapitia mengi sana mateso na hata misukosuko na huyo aliyekuwa nae.

Baada ya maelezo mengi nilimsamehe na aliniomba turudiane tuwe kama mwanzo,Baada ya kuona yuko serious na hilo la kurudiana nikamuomba niende mara moja toilet nilivyofika toilet kuna jamaa nikamuagiza ampelekee elf 10 pale alipo ili alipie bili ya chakula mimi nilivyompotea wala hakujua wala sikumuaga.Kiuchumi siko vizuri sana but huwa najiuliza tu ni kwanini dada zetu mnapopata wabaume wenye mapenzi ya dhati huwa mnatuona kama wajinga?

Tambueni wengine tupo hivyo sababu ya maisha tuliyoyaishi.
mimi ningempalia makaa kichwani, kwa maana ya kwamba kama ningekuwa na hela ningempa hata milion moja kabisa tena kwa roho moja ili iwe fundisho katika maisha yake yote atakayoishi duniani na hata watoto wake wasingekuja kurudia huo upuuzi maana angewafundisha kwa njia moja.
 
Mimi ningemtoroka kabisa ili hela ya duka na kiwanja ndio alipie msosi, sheenzy kabisa.
mimi ningempalia makaa kichwani, kwa maana ya kwamba kama ningekuwa na hela ningempa hata milion moja kabisa tena kwa roho moja ili iwe fundisho katika maisha yake yote atakayoishi duniani na hata watoto wake wasingekuja kurudia huo upuuzi maana angewafundisha kwa njia moja.
 
Mdogo wangu anaitwa Rebbie kapigwa mimba kazaa mara 2 mapacha jamaa kakimbia watoto wa4 wako hm pale nalea mimi mmoja ashaanza kuwa mwizi.
daaah'.. Maskiini, wakabidhi hao watoto kwa MUNGU wakati bado mapema jamani mtawapoteza na hawana khatia,
Huyo mwanaume hajafanya vizuri hata kidogo. Pole mkuu Fanya wema kwa ajili ya hao watoto maskiini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahhhahhhahhaa,yaani wewe unazidi kunchekesha Hapa.
Kama kweli umempenda na tatizo ni tako bas fanya namna aanze kwenda gym. Zipo workouts zinazosaidia kuexpand glute muscles (sijui ka nimepatia spelling)
Trust me utaona kiuno na tako vinaanza kukaa unavyopenda. It's serious. Awe tuu consistent.
Akiacha kwenda si ndio linashuka ka aliyeng'atwa na nyigu juu ya muembe!?
 
Back
Top Bottom