Kwanini wanawake hawapendi wanaume wenye mapenzi ya dhati?

hili jambo n changamoto sana yaan kuna jamaa yangu alioa msichana mzur mweupe ana tako kubwa kama trailer la semi sasa humo ndani kila sku ni vituko na ugomvi mpaka saiz naandka hapa wametengana kila mtu anaish kivyake japo jamaa anatuma pesa ya kulea watoto

haya sasa kuna huyu jamaa mwngne yy ana girlfriend ....huyu girlfrend anampenda jamaa kichiz yaan huwez sikia anamwomba pesa,( mpaka awe na tatzo serious) lakn hajawahi kumwomba hz pesa za saloon,vocha,nguo n.k japo huyu msichana ni yatima na analelewa na dadake tu.

challenge ni kwamba huyu msichana hana tako afu ni mfupi sasa hili jambo linamnyima raha jamaa yaan kila mda ananiambia anataka kuachana na yule msichana lakn namshauri asimuache hasa ukizingatia wote ni yatima yaan jamaa hana wazazi na dem hana wazazi.

alafu pia huyu dem huwa anaugua ugua mara nyngi leo ataumwa kichwa....kesho mafua....keshokutwa tumbo yaan in shot ni mtu wa kuumwa umwa jamaa anaogopa akimuoa huyu dem atakuwa amekaribisha magonjwa nyumban......

*WANAUME TUNA SAFARI NDEFU SANA*
Nadhani sababu ni wenye mapenzi ya dhati hua hawana hela..ni kama vile unakutana na wife material halafu hana tako..yani sijawahi kua na wakati mgumu kama huu wife material kabisa sema anakua hana tako..yani hana tako hata la kishkaji daahh...
 
Sio vizuri dada wa watu anajituma kwako wakati huna mpango nae unamcheleweshea muda wake siumuache tu uendelee na unaowapenda,usiwe mselfish kiasi

Cc Kingsmann
Kumuacha mtu ni mtihani mkubwa sana. Watu wengu hujikuta kwenye mahusiano ambayo hayana mapenzi ndani yake, wakisubiri nafasi itokee ili waisingizie kama ndio sababu, ilhali mapenzi yalishakoma kitambo.

Nimekuwa mhanga wa haya. Nishawahi achana na watu kwa lengo la kutowapotezea muda baada ya kuona sina mapenzi nao tena, namna wanavyoumiaga haipaswi kusimulia. Unakuta ishapita hata miezi sita, ila mtu bado anakutafuta tu na hakati tamaa licha ya kuumia.
 
challenge ni kwamba huyu msichana hana tako afu ni mfupi sasa hili jambo linamnyima raha jamaa yaan kila mda ananiambia anataka kuachana na yule msichana lakn namshauri asimuache hasa ukizingatia wote ni yatima yaan jamaa hana wazazi na dem hana wazazi.

Kama anapenda matracko kilimshinda nini kwa yule wa mwanzo..?

Ndoa sio taasisi ya HURUMA, kwamba uoe mtu kwa kumhurumia tu.... kwa mtu mzima bado neno yatima linatumika..?

Ushauri wako kuwa WASIACHANE ni mzuri, ila sababu yako ni ya KIPUUZI.... acha UNYANYAPAA.
 
Nadhani sababu ni wenye mapenzi ya dhati hua hawana hela..ni kama vile unakutana na wife material halafu hana tako..yani sijawahi kua na wakati mgumu kama huu wife material kabisa sema anakua hana tako..yani hana tako hata la kishkaji daahh...
Hii comment imenichekesha hatari
 
Kumuacha mtu ni mtihani mkubwa sana. Watu wengu hujikuta kwenye mahusiano ambayo hayana mapenzi ndani yake, wakisubiri nafasi itokee ili waisingizie kama ndio sababu, ilhali mapenzi yalishakoma kitambo.

Nimekuwa mhanga wa haya. Nishawahi achana na watu kwa lengo la kutowapotezea muda baada ya kuona sina mapenzi nao tena, namna wanavyoumiaga haipaswi kusimulia. Unakuta ishapita hata miezi sita, ila mtu bado anakutafuta tu na hakati tamaa licha ya kuumia.

Thamani ya upendo kama huu ni wachache wanaouthamini ila kama unaona huna sababu ya kuwa na huyo mtu mweleze ukweli mapema kuliko kuendelea kumtumia bila kuwa na future nae

Cc Kingsmann
 
Habari,

Leo ningependa kushare nanyi kitu kidogo hasa kupitia mahusiano jambo ambalo sikuwahi kabla huenda nikapata ushauri na hata wengine kujifunza.
Kitabia naweza kusema ni moja kati ya wale wanaume ambao ukiwa nae una uhakika wa kuwa upo salama na upo peke yako.

Kwani uwapo na mahusiano nami uko huru kuja muda wowote kwangu kuhusu simu hata ukisema uondoke nayo we nenda nayo inshort ni muwazi mno,yote inatokana na maisha niliyoyaishi ya bila wazazi especially kwenye uyatima,hivyo nimekuwa nikithamini mno mahusiano ambayo nitaingia kwani huwa nawaonea mno huruma wanawake hasa ukizingatia tabu alizozipata mama yangu kabla ya kufariki nikiwa na miaka 7.

Hivyo nilijiapiza kuwa sitaumiza mwanamke au kumnyanyasa na niliweka kiapo kama nitapata mtoto sitopenda aishi maisha kama niliyoyaishi mimi.
Miaka mitano nyuma nilifanikiwa kuanzisha mahusiano na msichana kutoka mkoa wa Mbeya,kiukweli nilitokea mno kumpenda na nilikuwa loyal kwenye mapenzi yetu,baada ya miezi 6,tulifanikiwa kufungua biashara ya duka.

Biashara ilikwenda vizuri kutokana na uzoefu nlokuwa nao katika biashara,biashara ilivyokuwa nzuri nikapata bahati ya kwenda kujiongeza kielimu huku nikimuacha mwenzangu aendelee na biashara kwa minajili ya nikimaliza mwaka wa kwanza nikirudi tumalizie hatua nyingine za posa.

Kufupisha tu story ndani ya ile miezi minne ya mwanzo mwenzangu alikuwa ameanza kubadilika mno kiasi kilichoanza kunipa mashaka likizo ya kwanza ilipokwisha nilivyorudi hakuwa yule ambae ninamfahamu kimavazi na hata tabia.Kama mwanaume machale yakanicheza katika kuchunguza chunguza nikagundua kuwa mwenzangu tayari yupo na mtu mwengine nilimtafuta nikaongea nae kuhusu hilo alikataa kata kata pia akawa na jeuri mie bkasema siyo mbaya nikapotezea.

Likizo ilivyokwisha nikarudi zangu masomoni,miezi miwili baada ya kurud masomoni akawa hapatikani wala hana mawasiliano na mimi,Nilivyorudi nikakuta mali za duka zote zimeuzwa kiwanja tulichonunua kauza inshort alikuwa ameuza investment zote tulizokuwa tumeanzisha pamoja.

Hakika nilikonda na kutokea kukonda mno maana nilihisi future yangu imeharibika kabisa zaidi nilipopata habari kuwa anaishi na mwanaume mwengine na ni mjamzito,kutokana na company niliyokuwa nayo kwa dada zangu na hata familia niliteseka na nikakaa sawa nikaamua ku move on.

Aliendelea na maisha yake nami nikaendelea na maisha yangu hadi siku ya juzi nilipokutana nae kariakoo akiuza nyanya na mtoto mgongoni kariakoo.

Sikubahatika kumuona ila yeye ndiye aliyeniona kiukweli alikuwa akilia mno na kuwa kama movie pale sokoni huku akinisihi nimsamehe,kwa ambae ananifahamu ni mtu mwenye huruma mno lakini kila alivyokuwa akilia na kuniomba msamaha nilikuwa namuona kama katuni mbele ya macho yangu watu walinisihi sana nimchukue tukae sehemu tuongee ili kuepusha ile aibu pale,nikafanikiwa kumchukua mpka kwenye kimgahawa hakika aliyapitia mengi sana mateso na hata misukosuko na huyo aliyekuwa nae.

Baada ya maelezo mengi nilimsamehe na aliniomba turudiane tuwe kama mwanzo,Baada ya kuona yuko serious na hilo la kurudiana nikamuomba niende mara moja toilet nilivyofika toilet kuna jamaa nikamuagiza ampelekee elf 10 pale alipo ili alipie bili ya chakula mimi nilivyompotea wala hakujua wala sikumuaga.Kiuchumi siko vizuri sana but huwa najiuliza tu ni kwanini dada zetu mnapopata wabaume wenye mapenzi ya dhati huwa mnatuona kama wajinga?

Tambueni wengine tupo hivyo sababu ya maisha tuliyoyaishi.

Mkuu mabandiko yako mengi ni ya kutunga nimejaribu kukufatilia naona unataka attention kwa wasomaji au kama ni vingine basi unaweza kuwa una kipaji cha kutunga hadithi.
 
Kumuacha mtu ni mtihani mkubwa sana. Watu wengu hujikuta kwenye mahusiano ambayo hayana mapenzi ndani yake, wakisubiri nafasi itokee ili waisingizie kama ndio sababu, ilhali mapenzi yalishakoma kitambo.

Nimekuwa mhanga wa haya. Nishawahi achana na watu kwa lengo la kutowapotezea muda baada ya kuona sina mapenzi nao tena, namna wanavyoumiaga haipaswi kusimulia. Umakuta ishapita hata miezi sita, ila mtu bado anakutafuta tu na hakati tamaa licha ya kuumia.
Pole mkuu kweli hiyo kampuni ni kubwa kibongo bongo lazima kichwa iwake moto
Inawaka moto si kidogo ndg yangu tunaweka ujasiri tu.
Halafu ukute vitoto vyenyewe vijeuri
 
pole mkuu ,sijui km nimeilewa hii topic ila sometimes tunapenda wanaume physically aggressive as its a sign of security/protection.....ukiwa mpole ni sign ya weakness....

niliona mahali pia wanawake tunapenda bad boys sababu ya personalities zao..dont care attitude shows bad boy is not scared of life,which strangely this appeals to us..lol
wanawake bana....wacha tuwapende tuu.....umeongea kitu fulani hapo kiko very active.........yes wanawake ni maua hata jangwani yanamea.....
 
Bahati pia, kuna ule usemi "penye miti hapana wajenzi"
 
Thamani ya upendo kama huu ni wachache wanaouthamini ila kama unaona huna sababu ya kuwa na huyo mtu mweleze ukweli mapema kuliko kuendelea kumtumia bila kuwa na future nae

Cc Kingsmann

Kwenye kuambiana ukweli hapo ndo huwa tatizo. Unamwambia mtu ukweli hakuelewi, anaona unamdanganya ushapata mtu mwingine. Ukipata mtu mwingine wapo ambao watafanya jihitahada zote za kukuharibia huko huko.
 
Habari,

Leo ningependa kushare nanyi kitu kidogo hasa kupitia mahusiano jambo ambalo sikuwahi kabla huenda nikapata ushauri na hata wengine kujifunza.
Kitabia naweza kusema ni moja kati ya wale wanaume ambao ukiwa nae una uhakika wa kuwa upo salama na upo peke yako.

Kwani uwapo na mahusiano nami uko huru kuja muda wowote kwangu kuhusu simu hata ukisema uondoke nayo we nenda nayo inshort ni muwazi mno,yote inatokana na maisha niliyoyaishi ya bila wazazi especially kwenye uyatima,hivyo nimekuwa nikithamini mno mahusiano ambayo nitaingia kwani huwa nawaonea mno huruma wanawake hasa ukizingatia tabu alizozipata mama yangu kabla ya kufariki nikiwa na miaka 7.

Hivyo nilijiapiza kuwa sitaumiza mwanamke au kumnyanyasa na niliweka kiapo kama nitapata mtoto sitopenda aishi maisha kama niliyoyaishi mimi.
Miaka mitano nyuma nilifanikiwa kuanzisha mahusiano na msichana kutoka mkoa wa Mbeya,kiukweli nilitokea mno kumpenda na nilikuwa loyal kwenye mapenzi yetu,baada ya miezi 6,tulifanikiwa kufungua biashara ya duka.

Biashara ilikwenda vizuri kutokana na uzoefu nlokuwa nao katika biashara,biashara ilivyokuwa nzuri nikapata bahati ya kwenda kujiongeza kielimu huku nikimuacha mwenzangu aendelee na biashara kwa minajili ya nikimaliza mwaka wa kwanza nikirudi tumalizie hatua nyingine za posa.

Kufupisha tu story ndani ya ile miezi minne ya mwanzo mwenzangu alikuwa ameanza kubadilika mno kiasi kilichoanza kunipa mashaka likizo ya kwanza ilipokwisha nilivyorudi hakuwa yule ambae ninamfahamu kimavazi na hata tabia.Kama mwanaume machale yakanicheza katika kuchunguza chunguza nikagundua kuwa mwenzangu tayari yupo na mtu mwengine nilimtafuta nikaongea nae kuhusu hilo alikataa kata kata pia akawa na jeuri mie bkasema siyo mbaya nikapotezea.

Likizo ilivyokwisha nikarudi zangu masomoni,miezi miwili baada ya kurud masomoni akawa hapatikani wala hana mawasiliano na mimi,Nilivyorudi nikakuta mali za duka zote zimeuzwa kiwanja tulichonunua kauza inshort alikuwa ameuza investment zote tulizokuwa tumeanzisha pamoja.

Hakika nilikonda na kutokea kukonda mno maana nilihisi future yangu imeharibika kabisa zaidi nilipopata habari kuwa anaishi na mwanaume mwengine na ni mjamzito,kutokana na company niliyokuwa nayo kwa dada zangu na hata familia niliteseka na nikakaa sawa nikaamua ku move on.

Aliendelea na maisha yake nami nikaendelea na maisha yangu hadi siku ya juzi nilipokutana nae kariakoo akiuza nyanya na mtoto mgongoni kariakoo.

Sikubahatika kumuona ila yeye ndiye aliyeniona kiukweli alikuwa akilia mno na kuwa kama movie pale sokoni huku akinisihi nimsamehe,kwa ambae ananifahamu ni mtu mwenye huruma mno lakini kila alivyokuwa akilia na kuniomba msamaha nilikuwa namuona kama katuni mbele ya macho yangu watu walinisihi sana nimchukue tukae sehemu tuongee ili kuepusha ile aibu pale,nikafanikiwa kumchukua mpka kwenye kimgahawa hakika aliyapitia mengi sana mateso na hata misukosuko na huyo aliyekuwa nae.

Baada ya maelezo mengi nilimsamehe na aliniomba turudiane tuwe kama mwanzo,Baada ya kuona yuko serious na hilo la kurudiana nikamuomba niende mara moja toilet nilivyofika toilet kuna jamaa nikamuagiza ampelekee elf 10 pale alipo ili alipie bili ya chakula mimi nilivyompotea wala hakujua wala sikumuaga.Kiuchumi siko vizuri sana but huwa najiuliza tu ni kwanini dada zetu mnapopata wabaume wenye mapenzi ya dhati huwa mnatuona kama wajinga?

Tambueni wengine tupo hivyo sababu ya maisha tuliyoyaishi.
Hizi ndio tabia za Wanaume wenye mapenzi ya dhati.
1.Sio watundu hawana uzoefu wa kutosha kwenye godoro.
2. Hawana fedha, not financially stable.
3. Sio wachangamfu mbele ya kadamnasi na hawana confidence ya kutosha
4. Hawana uwezo wa kuonyesha umiliki na ulinzi kwa mwanamke mbele ya kadamnasi.

Hii ndio viumbe wenye hiyo jinsia pendwa vyote haviwavutii Kwa kiumbe cha kiume kuanzia wanyama mpaka binadamu.

Ndiyo maana, mwanamke hata akiambiwa huyo player bado ataenda tu, na jamaa anawapanga tu, it is nature.

Usisikilize maoni yao mtandaoni ooh Mimi siwezi kuwa na player, hakuna kitu kama hicho.
 
Back
Top Bottom