Kwanini wanawake ambao hawajaolewa hudharauliwa?

Kwanini wanawake ambao hawajaolewa hudharauliwa?

Anaonekana si lolote mbele ya jamii kivipi?

Kwamba yeye si binadamu kamili na asiyestahili kuheshimiwa kama binadamu wengine?

Sijawahi kuona jamii iloyo judgmental kama hii tena kwenye mambo ya hovyo kabisa.

Ubinadamu wa mtu haupungui kisa tu hayuko kwenye ndoa.

Shameful!
Watu wenye mtazamo kama wako ndio wanaochangia kuharibika kwa mifumo mingi ya kuendesha maisha ya binadamu mstaarabu
Kuowa ama kuolewa ni jambo la muhimu sana katika maisha ya binadamu...kama wengine wanafanya hivyo, kulikoni wewe usifanye?
 
Nakumbuka bongo flavour ya kitambo iliyopigwa na NGONI TRIBE, walipiga Wimbo mmoja unaitwa MANUNGA YEMBE"... (wanawake wazuri wazuri wameolewa, yamebaki manunga yembe yanahangaika)... Ulimdharau mwanamke asiyeolewa....
ulipigwa marufuku.
 
Habari,

Nimeona leo tuangalie hili suala la kudharauliwa wanawake wasioolewa kwa kuwa linazidi kushika kasi zaidi.

Mimi ni mwanamke wa mtu ila kuna hii tabia ya watu kuwasema vibaya wanawake wasioolewa. Imekuwa ikiniuma sana, kwakuwa naamini kuwa wao hawakupenda hivyo.

Naomba kufahamu juu ya hawa wanawake ambao hawajabahatika kupata wenza wa maisha kwanini huwa wanadharauliwa sana hasa katika jamii ya watu wanaomzunguka.

Pia nataka kujua kuwa kwa hawa wanawake ambao hawajaolewa wamependa au kuna nini kinasababisha wao wakose waume wa kuwaoa.

Kwa upande wangu naamini kuwa kuolewa ni mipango ya Mungu.

Karibuni kwa michango

Nawasilisha
Sasa kama unaamini kuolewa ni mpango wa Mungu unataka tujadili nini?
 
Wanawake kwa wanawake ndio hua mnadharauliana na kusemana, huwezi hata siku moja kukuta mwanaume anamsema mwanaume mwingine (ambae hajaoa) akihusisha na uoaji ila kwa wanawake hicho ni kichwa cha habari.
 
Kuna tatizo kwa upande wa baadhi ya wanawake. Unakuta mwanamke hana tabia nzuri kipindi cha usichana wake, mara avae vibaya mara awe mchaguzi sana wa wanaume mara aringe sana mara kutaka mwanaume mwenye kipato kizuri, baadae muda ukienda anakuja kugundua alikua anakosea na kurudi inakua ngumu. Wale aliokua anawaringia na kufanya vituko ndio wanamdharau.
NB Wanawake wawe waangalifu sana sio unakua na mpenzi anakuambia twende club na wewe unajipeleka tuu kumbe unasomwa akili yako. Ni wanaume wachache sana wanapenda wanawake wanaojua sehem zote za starehe.
 
Sijaolewa ila sijaona anaenidharau kwasababu hiyo....
Jitahidi japo uolewe utafurahi sanaa maisha yako yote. Kuna kipindi huko mbeleni umri umeenda utakuja kukuta marafiki na ndugu zako wa kike wameolewa na wewe uko single kuna heshima fulani utakua hupati.
 
Watu wenye mtazamo kama wako ndio wanaochangia kuharibika kwa mifumo mingi ya kuendesha maisha ya binadamu mstaarabu

Ah wapi! Mimi falsafa yangu kuu ni 'live and let live'. Sasa ni kivipi mtazamo wangu kuhusu ndoa unachangia uharibikaji ya mfumo wa kuendesha maisha?

Unajua maana ya 'live and let live'?

Kuowa ama kuolewa ni jambo la muhimu sana katika maisha ya binadamu...kama wengine wanafanya hivyo, kulikoni wewe usifanye?

Ni dhahiri shahiri hujui maana ya 'live and let live'. Nikuongezee msemo mwingine...to each his own.

Now marinate on that.
 
Wewe umejuaje kama wanadhauliwa? nani anaawadhalau?

binafsi nawaheshimu sana wanawake ambao hawajaolewa maana inajulikana hawajaolewa
kuliko hawa waliolewa wanachapwa mpaka wauza maji..

bora aliekua hana
 
Jitahidi japo uolewe utafurahi sanaa maisha yako yote. Kuna kipindi huko mbeleni umri umeenda utakuja kukuta marafiki na ndugu zako wa kike wameolewa na wewe uko single kuna heshima fulani utakua hupati.
Nitaingia huko ila si kwa msukumo wa jamii inayonizunguka wala kwakua wenzangu wameolewa au swala la umri kunitupa mkono
 
Nitaingia huko ila si kwa msukumo wa jamii inayonizunguka wala kwakua wenzangu wameolewa au swala la umri kunitupa mkono
Valentine tena bora usiingie kabisa.

siku hizi kumchapa mke wa mtu ni rahisi kuliko kumla single mother au msichana ambae hajaolewa kabisa.

nenda uswahili uone wake za watu wanavyoliwa na wahuni
nenda kwa matajiri uone wake zao wanavyoliwa na watu wa Hovyo kabisa
 
Habari,

Nimeona leo tuangalie hili suala la kudharauliwa wanawake wasioolewa kwa kuwa linazidi kushika kasi zaidi.

Mimi ni mwanamke wa mtu ila kuna hii tabia ya watu kuwasema vibaya wanawake wasioolewa. Imekuwa ikiniuma sana, kwakuwa naamini kuwa wao hawakupenda hivyo.

Naomba kufahamu juu ya hawa wanawake ambao hawajabahatika kupata wenza wa maisha kwanini huwa wanadharauliwa sana hasa katika jamii ya watu wanaomzunguka.

Pia nataka kujua kuwa kwa hawa wanawake ambao hawajaolewa wamependa au kuna nini kinasababisha wao wakose waume wa kuwaoa.

Kwa upande wangu naamini kuwa kuolewa ni mipango ya Mungu.

Karibuni kwa michango

Nawasilisha
Ndoa sio bahati
 
Kukosa mume tu ndio sababu ya kudharauliwa na wanaowazarau ni baadhi ya watu katika jamii husika

I didn't know that! Jamii husika ni ipi hiyo? Umewahi kuongea na hao baadhi ya watu katika hiyo jamii husika ukapewa jibu gani?
 
Valentine tena bora usiingie kabisa.

siku hizi kumchapa mke wa mtu ni rahisi kuliko kumla single mother au msichana ambae hajaolewa kabisa.

nenda uswahili uone wake za watu wanavyoliwa na wahuni
nenda kwa matajiri uone wake zao wanavyoliwa na watu wa Hovyo kabisa

Duh, hii umeitolea uvivu kweli! Ningependa kujua kwanza wewe uko upande gani! [emoji3]
 
Ninachofahamu, mwanamke ambae hajaolewa kila mwanaume atajaribu bahati yake, iwe kazini, majirani unaoishi nao, sehemu ya ibada. Tatizo unaweza kuishia kuwa mama huruma kama siyo mwangalifu.
na huo umama huruma ndio unaosababisha kutokuolewa na kudharaulika!
 
Back
Top Bottom