Aisee unajua kwasasa unaweza ukawa na msimamo huo kutokana na kwamba sasa hivi bado upo kwenye level nzuri unaona bado wanaokufuata kukutongoza ni wengi mpaka wengne unaona kero
Halafu ukijiangalia kwenye kioo unaona bado upo unaita....
Itafika kipindi idadi ya wanao kutongoza wanapungua, unaona rika lako lote kama mko sokon au dukan wakat ww unachagua nguo ya kuvaa wenzako wanachagua suluali ya bwana au shati la mtoto au kiatu cha mtoto,
Mnatoka kwenye sherehe unaona rafki zako wametoka na waume zao ww uko peke yako itafika hatua hata zile story za kujiachia hazipo maana wenzako hawawezi kuongea uozo wakiwa na bwana zao..
Hapo ndipo na ww unaanza kutafuta faraja lakn unaikosa wakat Wa kulala ww unakumbatia mito..
Hapo ndipo namba inaanza kusomeka nabaadae utajikuta umeingia sehem isiyo sahihi..
Chunga sana wakat Mara nyingi huwa unaongea