Kwanini wanawake ambao hawajaolewa hudharauliwa?

Kwanini wanawake ambao hawajaolewa hudharauliwa?

Point yako nimeelewa na nina kubaliana nawe juu ya umuhimu wa ndoa.

Ila dhana ya kwamba wasio na ndoa wanadharaulika hiyo sikubaliani nayo
Suala la kudharaurika linaweza kuwa kweli au lisiwe kweli hilo ni kutokana na huyo mtu anaishije ama jamii aliyopo
 
Heshima ya mwanamke yoyote ni kujiheshimu tu, hata kama ujaolewa kam unajiheshim na si bi huruma lazima jamii ikuheshimu. Kuna watu wameolewa lakini hawaeshiniki kutokana na tabia zao za hovyo.
 
Kuna mtu kasema.hapa

1. Hujaribu jaribu hovyo akaharobu

2.inawezekana ana tabia mbaya na ndo.inamnyima bwana....so.tabia hio.bado.inaexist ndo inamfanya adharaulike.

3.inawezekana wanawake.wengine wanamuona ni potential mwizi wa.waume.zao.

4..all.in all..mwanamke.thabiti ni yule.anayembaini mwanaume anayempenda yeye...kisha kupanga maisha naye hata kama.kaoa..tena kwa adabu na kumuheshimu aliyemkuta....atazaa na.maisha yataendelea...hataonelana kuwa tatizo tena na ataheshimiwa.

Wewe endelea.kusubiri wa kwako na kujaribu jarobu
 
Ah wapi! Mimi falsafa yangu kuu ni 'live and let live'. Sasa ni kivipi mtazamo wangu kuhusu ndoa unachangia uharibikaji ya mfumo wa kuendesha maisha?

Unajua maana ya 'live and let live'?



Ni dhahiri shahiri hujui maana ya 'live and let live'. Nikuongezee msemo mwingine...to each his own.

Now marinate on that.
Hahahaaa! U win
 
Valentine tena bora usiingie kabisa.

siku hizi kumchapa mke wa mtu ni rahisi kuliko kumla single mother au msichana ambae hajaolewa kabisa.

nenda uswahili uone wake za watu wanavyoliwa na wahuni
nenda kwa matajiri uone wake zao wanavyoliwa na watu wa Hovyo kabisa

Wambake.you are.right...why?

1. Kaolewa.kafuata maisha au just ndoa....hajui.anataka nini duniani...

2.single mother..anajua anachotaka duniani...kampata bwana.aliyempenda..wamezaa..wanaendelea na maisha yao.vizuri..wanatimiza malengo yao..anajiheshimu...

Ni bora kuwa mke.mdogo kwa mtu...mloependana...anayekuelewa na unamuelewa...kuliko.kutafuta bwana wako wa peke yako...mhuni ..haeleweki..kichwa nazi...humpendi...

Kimsingi matatizo yooote ya huku chini yameletwa na umagharibi...
 
Habari,

Nimeona leo tuangalie hili suala la kudharauliwa wanawake wasioolewa kwa kuwa linazidi kushika kasi zaidi.

Mimi ni mwanamke wa mtu ila kuna hii tabia ya watu kuwasema vibaya wanawake wasioolewa. Imekuwa ikiniuma sana, kwakuwa naamini kuwa wao hawakupenda hivyo.

Naomba kufahamu juu ya hawa wanawake ambao hawajabahatika kupata wenza wa maisha kwanini huwa wanadharauliwa sana hasa katika jamii ya watu wanaomzunguka.

Pia nataka kujua kuwa kwa hawa wanawake ambao hawajaolewa wamependa au kuna nini kinasababisha wao wakose waume wa kuwaoa.

Kwa upande wangu naamini kuwa kuolewa ni mipango ya Mungu.

Karibuni kwa michango

Nawasilisha
Kudharauliwa kivipi? Mi sijaona bado. Ungetoa mfano wa tendo lililoonesha dharau labda. Mie nawafahamu wengi tu na hamna anaewadharau. Ila kuna umri mwanamke mwenyewe akifika anaanza kujishuku na jamii pia inakua na wasiwasi.
 
Back
Top Bottom