Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,970
- 36,442
- Thread starter
-
- #101
Wanaume wanakufa mapema kwa sababu za kibaiolojia, hebu jaribu kujisomea kidogo sheikh!Anglia idadi ya wajane na wagane ndo utajua Nani anaongoza kwa uuzaji kwenye familia.
Wanawake ni dhaifu PHYSICALLY na Wanaume ni dhaifu EMOTIONALLY.Ni nature au nyie jinsia ya kiume ni dhaifu kuliko sisi?
Fact 💯 📌Wanawake ni dhaifu PHYSICALLY na Wanaume ni dhaifu EMOTIONALLY.
Hiyo EMMOTIONALLY ungeandika "hawapendi" ujingaujinga.Wanawake ni dhaifu PHYSICALLY na Wanaume ni dhaifu EMOTIONALLY.
Sasa mbona kama una makasiriko kijana?Tufanye tu wote hatujielewi....
Kabisa mkuu. Nadhani ni biolojia.Upo sahihi.Hadi mwanaume afanye tukio baya ujue alishavumilia jambo/mambo kwa muda mrefu sana.
Mkeo akipita mbele yako na khanga moja akitingisha kalio, una uhakika hutopenda huo ujinga? 😹Hiyo EMMOTIONALLY ungeandika "hawapendi" ujingaujinga.
Maandiko yanasema "Usimjaribu Bwana Mungu wako"!Basi,hapo pembezoni andika "usimletee mwanaume utani wa kijinga kwani matokeo yake ni mabaya sana"!Kabisa mkuu. Nadhani ni biolojia.
Umesema vyema, ila kuna wachache wanaweza kukupinga kwa sababu ya ego, kwao kukiri udhaifu na kuufanyia kazi wanachukulia kama ishara ya kujivua uanaume wao.Kutodhibiti hisia ni udhaifu mkubwa sana,mwanaume au mtu yoyote mwenye nguvu ni yule ambaye anaweza kudhibiti hasira anapo kasirika na kinyume cha hapo ni weakness
Ukijiona jambo dogo tu linakukwaza na kutaka kufanya maamuzi ya ajabu you are weak
Kibaya zaidi sisi ndio kichwa cha familia halafu tupo very weak
Wanaume tubadilike kabla hujafanya anything stupid just think big tutaepuka na mengi period
Inategemea nipo kwenye mahesabu na mood gani.Ingawa,nitampongeza sana.Mkeo akipita mbele yako na khanga moja akitingisha kalio, una uhakika hutopenda huo ujinga? 😹
Ego kwa mwanaume ni asili yake.Hata nikiikwepa inajileta tu machoni pangu.Umesema vyema, ila kuna wachache wanaweza kukupinga kwa sababu ya ego, kwao kukiri udhaifu na kuufanyia kazi wanachukulia kama ishara ya kujivua uanaume wao.
Siyo makosa tu, vipi wale wanaodhuru wengine au kuua kwa kukataliwa au kunyimwa kitu wanachokiomba au kukihitaji?Binafsi sitetei ukatili au aina yoyote ya kujichukulia maamuzi bila kufikiri lakini mpaka unaona mtu anatenda tukio fulani Cha kinyama basi ujue ndipo uwezo wake wa kuhimili na kudhibiti hisia zake umefika kikomo, unajua kila mtu ana kiwango chake Cha uvumilivu ambacho kikifika kikomo chake yule mtu anaweza kuwa mwehu au kichaa hali inayoweza kupelekea mtu huyo kufanya chochote na hapo baadae huishia kujutia, na kwa kuwa most male ni chauvinist na mostly wana macho pride, kosa lolote atakalofanyiwa na mwanamke hasa linaloonekana kushusha hadhi yake kama mwanaume au lenye kumtia aibu au kumfadhaisha linaweza kuishia katika kuleta madhara makubwa hasa ya kimwili
Taste-onjaDon't Taste me Twice
Mwanaume anafundishwa kuwa hazaliwi na thamani yake, bali anaitafuta. Anatafuta mali, anajenga nguvu, anajifunza ujuzi nk.Ni nature au nyie jinsia ya kiume ni dhaifu kuliko sisi?
Ningekua karibu yako huenda hata tungekua tunaongea mengine, kama hatuja badilishana majengo ya serikali sijui tu balaa lake..Sasa mbona kama una makasiriko kijana?
Huu ndo udhaifu wenyewe sasa
Haina comeback hii ✍️😂😂😂Unakuta mwanaume mke wake kaliwa na mwanaume mwingine anapandwa na hasira. Hasira za nini wakati alimkuta mwanamke na mbunye yake ikiliwa na watu wengine? Mbunye ya mke wake itaendelea kuliwa na wengine atake asitake, hata kama aliizindua yeye mkewe atataka kuonja mipiko ya nje ina ladha gani, mwanaume awe mpole tu maisha yaendelee