mkuu haiko rahisi kama unavyodhani,Hilo ndo swali rahisi, talk about their body, akikuuliza umenipendea nini?
hapo utamkosa, I swear....
ndiyo maana Bruno Mars kaimba...Just the way you are, when i see yo face, nothing.........................
Jus the way you are, I feel like I am blessed to have a princess, I see light in my life(ole wako awe black)...
hili swali ni gumu, na hakuna eneo mwanamke yupo makini sana kusikiliza kama hapa,
and for your information, Ukimkosoa mwanamke chochote ktk mwili wake atakufa nalo take it from me,
kama ukiweza msifie mwanamke siku zote but usimkosoe kabisa ktk mwili wake hatasau mpaka kuzikwa.