Kwanini wanaume wengi hufeli swali hili wakitongoza?

Kwanini wanaume wengi hufeli swali hili wakitongoza?

Ningekuwa mimi ningejibu hivi.

1. Kwanza, nimekusoma kama mtu ambaye anakubalika kwenye jamii, kama nilivyo mimi. Unajiheshimu kwa mavazi na kauli. U mcheshi na mkarimu kwa wote. Nimechukua muda kukuchunguza, sijakurupuka "from nowhere". Mimi si wale wanaojitosa kichwa-kichwa bila kwanza kumchunguza na kumfahamu kidogo mtu ninayetaka kujenga urafiki naye.

2. Pili, mti wenye matunda ndio upigwao mawe. Wewe ni mzabibu, tena mzabibu wenye zile zabibu zenye harufu na matunda yaliyo bora zaidi. Kwa nini nisivutiwe nawe mpaka nikaitafuta namba yako?

3. Kuna rafikiyo ambaye ni msiri wangu ndiye aliyenipa namba yako kwa masharti kwamba nisilitaje jina lake kwako iwapo ungeniuliza. Kwa kuwa nimekula kiapo, siwezi kumsaliti.

Tuendelee na mahusiano yetu. Kwangu sioni kikwazo, lakini iwapo hujaridhia, Binti Mwema, nieleza, nitaacha kukufuata.

Asante.

Wako Mtiifu.

--------------------

Hivi ndivyo ningemjibu hilo swali.

Sijui wengine wangemjibu kwa namna gani.

Hizo sifa mpe mtoto wa kijijini, anayejitambua hawezi lainika na sifa hizo.
 
cjaona swali la kushindwa kujibu hapo lbd uwe ndo unaanza
 
Teh teh..Good boy
Haha Kaboom bora hivyo kuliko kudanganya ,ujue uongo unatumia nguvu nyingi sana ,halafu pia sio Guarantee kwamba utampata ,sema kweli akileta za kuleta unazevenza utakutana na wengine mbele ya safari
 
Wanaume wamekuwa wakijifanya ni mabingwa kama siyo majabali wa kutongoza lakini mara baada tu ya ujio wa simu za mkononi hakika zimekuwa ni kama ni mateso makubwa kwao.

Nalisema hili kutokana na kwamba unaweza kumkuta mwanaume anapambana au anahangaika kuipata namba ya mwanamke fulani ambaye hajuani nae au labda namba yake kaipata tu kwa mtu ili aanze kumtongoza kwa simu ama kwa kumpigia au kumtumia meseji lakini imekuja kujulikana kuwa hakuna mtihani mgumu au swali gumu ambalo wanaume wengi hukumbana nalo na ambalo wengi wao hushindwa kulijibu na hatimaye kujikuta wanajichanganya na wanamkosa huyo mwanamke.

Utakuta mwanaume anaanza kujitutumua kwa kuwasiliana na huyo mwanamke lakini akiulizwa tu swali hili " je namba yangu umeitoa wapi au kakupa nani? " wengi wao hukata tamaa kabisa na hata kuishiwa tena nguvu za kuendelea kuwasiliana na yule binti au mwanamke kwani hakuna swali ambalo wanaume wengi hawalipendi na hawaliwezi kulijibu kama hilo.

Labda leo tupate uzoefu kutoka kwa wanaume ambao naamini humu mpo wengi ni kwanini wengi wenu pamoja na jeuri zenu zote mkiulizwa tu hilo swali tajwa hapo juu huwa mnajiumauma na hatimaye kusepa na kuishia kulalamika tu?

Na je unadhani majibu sahihi ya kumjibu mwanamke ambaye hujuani nae halafu umepata tu namba yake kwa mtu na unataka kumtongoza endapo atakuuliza hilo swali kuwa " namba yangu umeitoa wapi au namba yangu kakupa nani? " ni yapi au ni lipi?
Mbona swali dogo sana hilo??
 
Katika rekodi zangu za kuomba tunda la kati sijawahi kutumia namba ya simu kufanikisha adhima yangu....kwa kuwa najiona kama mdhaifu mbele ya mwanamke.....yaani mwanaume mzima na mlingoti wangu imara nashindwa nini kumwambia live mpaka nitafute namba yake ya simu......kwanza mwanamke unayemtongoza kwenye simu hana raha wala mzuka alafu anakuwa huru sana kukujibu anavyotaka yeye tofauti anavyokuwa live.......

Kwenye simu mwanamke anaweza akakujibu vyovyotea anavyojisikia....anaweza akakuambia anapika kumbe yupo kifuani kwa jamaa yake....

Lakini mkiwa live hata kama mwanamke hakutaki lakini ile aibu ya kike inamfanya atumie busara kukukatalia ambapo kwa mwanaume anayejiongeza atajua mbivu na mbichi.....
 
Summary ya maada hii.

Ukimpigia mwanamke kwa nia ya kumtongoza na akakuliuza number yake umeipata wapi, utampa jibu gani?
 
wai mi hata muda wa kukaa kuwaza kutongoza nauoneaga uvivu kabsa. Nikitongoza mdada akaja kunikubal najikuta nshakata nae communication. naeza amka tangu asubuhi had jioni kama sina issue ya msingi ya kuwasiliana na mtu nisi text au kucall mtu. Mzaz unakaa hata mwezi hujampigia ila wasichana kuwatongozaa......?
 
Wanaume wamekuwa wakijifanya ni mabingwa kama siyo majabali wa kutongoza lakini mara baada tu ya ujio wa simu za mkononi hakika zimekuwa ni kama ni mateso makubwa kwao.

Nalisema hili kutokana na kwamba unaweza kumkuta mwanaume anapambana au anahangaika kuipata namba ya mwanamke fulani ambaye hajuani nae au labda namba yake kaipata tu kwa mtu ili aanze kumtongoza kwa simu ama kwa kumpigia au kumtumia meseji lakini imekuja kujulikana kuwa hakuna mtihani mgumu au swali gumu ambalo wanaume wengi hukumbana nalo na ambalo wengi wao hushindwa kulijibu na hatimaye kujikuta wanajichanganya na wanamkosa huyo mwanamke.

Utakuta mwanaume anaanza kujitutumua kwa kuwasiliana na huyo mwanamke lakini akiulizwa tu swali hili " je namba yangu umeitoa wapi au kakupa nani? " wengi wao hukata tamaa kabisa na hata kuishiwa tena nguvu za kuendelea kuwasiliana na yule binti au mwanamke kwani hakuna swali ambalo wanaume wengi hawalipendi na hawaliwezi kulijibu kama hilo.

Labda leo tupate uzoefu kutoka kwa wanaume ambao naamini humu mpo wengi ni kwanini wengi wenu pamoja na jeuri zenu zote mkiulizwa tu hilo swali tajwa hapo juu huwa mnajiumauma na hatimaye kusepa na kuishia kulalamika tu?

Na je unadhani majibu sahihi ya kumjibu mwanamke ambaye hujuani nae halafu umepata tu namba yake kwa mtu na unataka kumtongoza endapo atakuuliza hilo swali kuwa " namba yangu umeitoa wapi au namba yangu kakupa nani? " ni yapi au ni lipi?

aah swali Rahisiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Namwambia tu, kwenye simu yako una watu wangapi??????????????????????????????
Je unadhani ni sahihi mimi kumtaja aliyenipa??????????????????????????????????????
Basi tabasamu kidogo,
ujue tabasamu lako linaua hadi vigogo,
halafu uko natural hutumii mkorogo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
......................The Best Feelings women want to hear from men is all about their body, how do they look...............................................

swali gumu huwa umenipendea mimi???????????????????????????????????
 
Nimeamini wanaume wengi kutongoza ni shida.. Mm ni mtaalam wa kutongoza na sijawahi kushindwa.. Kwanza mwambie live kuwa mm nakupenda toka siku nyingi hivyo namba nilipewa na rafiki yako ila ukitaka nikutajie naomba tuonane my love tuongee kidogo.. Basi hawezi kuchomoa
 
Swali hilo kwangu likinijia namwambia namba yako nimeinunua kwa gharama kubwa sana naomba plz tuwasiliane tuu maana ukiacha mawasiliano pesa yangu itakuwa imepotea,kunamkaka kaniuzia namba yako anaitwa(kisha namtaja)ili wakapambane baadae,hii nafanya sababu ya kukomesha wanaotoa namba za watu
 
Naomba ni pm iyo spray.
Mkuu maneno matamu unayo lakini?
Itafute hiyo spray ni bei chee sana 15 elfu tu!
Shukrani zimuendee dada nanilii maana ndiye aliyenishawishi ninunue kwa mara ya kwanza!
 
Haaaa haaa hilo swali bana...lakini huwa nawajibu kuwa, nilitafuta sana namba yako simu, raiti kama namba yako ingekuwa inauzwa ningeinunua kwa gharama yoyote, ila nashukuru nimekutana na msamalia fulani (jina) kanipa bure.
 
thread, ni nzuri;
hapo majibu yanaweza yakawa hivi.
1.nang'ang'ana namba alinipa mwenyewe.
2.nimepewa na rafiki zake
3.mimi ndiye wakala niliyemsajilia nalazimisha hivyo
4.mm nilishawahi kuwa classmate wake few years ago.

kama dada maji mara 1 atakuelewa lakini ukikutana na mtu anaejielewa utakua umeanzisha uhasama kwa kuwa muongo

1. nilikupa wapi na sitoagi namba yangu kwa watu?
2. Namtaka kumfahamu aliyekupa namba yangu bila ruhusa yangu
3. Si kweli, umenisajilia wapi na lini.
4. Tulisoma wote wapi na namba ukaipata wapi maana sijakupa binafsi
 
Nimeamini wanaume wengi kutongoza ni shida.. Mm ni mtaalam wa kutongoza na sijawahi kushindwa.. Kwanza mwambie live kuwa mm nakupenda toka siku nyingi hivyo namba nilipewa na rafiki yako ila ukitaka nikutajie naomba tuonane my love tuongee kidogo.. Basi hawezi kuchomoa
Yaani utaalamu wako wa kutongoza ndio hichi ulichoandika hapa ?? Labda kama unayemtongoza ni mtoto wa darasa la saba ,vinginevyo utaishia tu kupata mitusi
 
aah swali Rahisiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Namwambia tu, kwenye simu yako una watu wangapi??????????????????????????????
Je unadhani ni sahihi mimi kumtaja aliyenipa??????????????????????????????????????
Basi tabasamu kidogo,
ujue tabasamu lako linaua hadi vigogo,
halafu uko natural hutumii mkorogo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
......................The Best Feelings women want to hear from men is all about their body, how do they look...............................................

swali gumu huwa umenipendea mimi???????????????????????????????????
Hilo ndo swali rahisi, talk about their body, akikuuliza umenipendea nini?
 
Back
Top Bottom