Kwanini wanaume wengi hufeli swali hili wakitongoza?

Kwanini wanaume wengi hufeli swali hili wakitongoza?

yeye: sor no zangu umepata wap

mimi ; mbwa ww kwani hizi namba ni za siri kwamba unazo ww tu??

yeye ,; daaa kaka una matusi wewe

mimi ; hata ww una papuchi

( msichana anacheka)

yeye ; hhhhhm basi nambie

mimi :nakupenda

yeye : oooh realy

mimi : ndio nakupenda sana

yeye : promise me hutoniumiza

mimi : ndio naku promise

yeye ; oky mi pia .....wap now?

mimi : geto tu love njoo

yeye; nakuja mpnz

baada ya dk 15 kafika nkala mzigo
 
Hilo jibu lakr mbona huwa ni lahisi sana, katika dunia hii ya teknelojia ni jibu jepesi sana
 
Hao unaowasema labda wavulana. Wanaume wanapewa namba na wanawake wenyewe wanaowafukuzia.

Ulimwengu huu wa leo kuna watu bado wanafanya namba deal?
 
namuuliza kwahiyo ni kosa kuwa na namba yako.. akiweza kujibu hilo nadhani hata swali lake atagundua halina msingi...!
 
unamwambia isiwe ajabu kuipata namba yako mti wenye matunda lazima urushiwe mawe kutoka sehem nyingi
 
Kutongoza ni shughuli pevu hasa ukitumia njia hiyo lazma uwe na akili nyingi na nyie wanaake bwana mnamaswali ya ajabu sana sasa mtu kashakupigia alafu unamuuliza umepata wapi namba yangu ili iweje sasa mnaboa sana mi mara nyingi mwanamke wa aina hii namuona hana akili.
 
kama dada maji mara 1 atakuelewa lakini ukikutana na mtu anaejielewa utakua umeanzisha uhasama kwa kuwa muongo

1. nilikupa wapi na sitoagi namba yangu kwa watu?
2. Namtaka kumfahamu aliyekupa namba yangu bila ruhusa yangu
3. Si kweli, umenisajilia wapi na lini.
4. Tulisoma wote wapi na namba ukaipata wapi maana sijakupa binafsi
upuuzi huo hutoag no kwa watu unatoa kwa punda au
 
Ulitaka kutongoza mwanamke usiyemjua hasa kwa namba ya kupewa lazima uwe na details za kuanzia kama ukikosa jina basi pata shughuli zake, location anayoishi in short pata back ground kidogo. Hapo kila kitu huko kwenye maswali ni easy kuyajibu hata kwa kutengeneza story ya kimazingira kulingana na details chache ulizopata.
 
Very simple. Hutakiwi kuanza kwa kumpigia simu, unaanza kwa kutuma empty sms. Ukituma mara kadhaa na kwa nyakati tofauti tofauti asipokuandikia yeye basi atakupigia na kudai unamsumbua. Basi hapo kidume kazi ishakwisha. kiulaini unaanza kutengeneza mazingira mpaka analogota mwenyewe kunyavu !!
 
Mkuu maneno matamu unayo lakini?
Itafute hiyo spray ni bei chee sana 15 elfu tu!
Shukrani zimuendee dada nanilii maana ndiye aliyenishawishi ninunue kwa mara ya kwanza!
Nipm Na Mimi hiyo spray
 
thread, ni nzuri;
hapo majibu yanaweza yakawa hivi.
1.nang'ang'ana namba alinipa mwenyewe.
2.nimepewa na rafiki zake
3.mimi ndiye wakala niliyemsajilia nalazimisha hivyo
4.mm nilishawahi kuwa classmate wake few years ago.
Je akiulza km kwel ww ni wakala ulinisajilia line yangu mwaka gani? Na kama umewahi kuwa class mate wake ilikuwa shule gani na mwaka gan au mwl mkuu wa ile shule alikuw anaitwa nan? Na kama umepewa namba na rafiki zake je unawajua kwa majina yao? Yani nyie ndo mnawakosa madada kiurahisi kabixa, pole sana ndg njoo tukufunze bado xn naona hujui rubuni mwanamke
 
Back
Top Bottom