Kwanini wanaume wengi hufeli swali hili wakitongoza?

Kwanini wanaume wengi hufeli swali hili wakitongoza?

yeye: sor no zangu umepata wap

mimi ; mbwa ww kwani hizi namba ni za siri kwamba unazo ww tu??

yeye ,; daaa kaka una matusi wewe

mimi ; hata ww una papuchi

( msichana anacheka)

yeye ; hhhhhm basi nambie

mimi :nakupenda

yeye : oooh realy

mimi : ndio nakupenda sana

yeye : promise me hutoniumiza

mimi : ndio naku promise

yeye ; oky mi pia .....wap now?

mimi : geto tu love njoo

yeye; nakuja mpnz

baada ya dk 15 kafika nkala mzigo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hii duuh
 
Wanaume wamekuwa wakijifanya ni mabingwa kama siyo majabali wa kutongoza lakini mara baada tu ya ujio wa simu za mkononi hakika zimekuwa ni kama ni mateso makubwa kwao.

Nalisema hili kutokana na kwamba unaweza kumkuta mwanaume anapambana au anahangaika kuipata namba ya mwanamke fulani ambaye hajuani nae au labda namba yake kaipata tu kwa mtu ili aanze kumtongoza kwa simu ama kwa kumpigia au kumtumia meseji lakini imekuja kujulikana kuwa hakuna mtihani mgumu au swali gumu ambalo wanaume wengi hukumbana nalo na ambalo wengi wao hushindwa kulijibu na hatimaye kujikuta wanajichanganya na wanamkosa huyo mwanamke.

Utakuta mwanaume anaanza kujitutumua kwa kuwasiliana na huyo mwanamke lakini akiulizwa tu swali hili " je namba yangu umeitoa wapi au kakupa nani? " wengi wao hukata tamaa kabisa na hata kuishiwa tena nguvu za kuendelea kuwasiliana na yule binti au mwanamke kwani hakuna swali ambalo wanaume wengi hawalipendi na hawaliwezi kulijibu kama hilo.

Labda leo tupate uzoefu kutoka kwa wanaume ambao naamini humu mpo wengi ni kwanini wengi wenu pamoja na jeuri zenu zote mkiulizwa tu hilo swali tajwa hapo juu huwa mnajiumauma na hatimaye kusepa na kuishia kulalamika tu?

Na je unadhani majibu sahihi ya kumjibu mwanamke ambaye hujuani nae halafu umepata tu namba yake kwa mtu na unataka kumtongoza endapo atakuuliza hilo swali kuwa " namba yangu umeitoa wapi au namba yangu kakupa nani? " ni yapi au ni lipi?
Nimeiiba!
 
Binafsi huwa sipendi kuulizwa hivyo. Huwa nawapigia kwa namba mpya nampanga tukutane na huko ndiko huwa namuomba namba pia na kumpatia yangu halisi.
 
thread, ni nzuri;
hapo majibu yanaweza yakawa hivi.
1.nang'ang'ana namba alinipa mwenyewe.
2.nimepewa na rafiki zake
3.mimi ndiye wakala niliyemsajilia nalazimisha hivyo
4.mm nilishawahi kuwa classmate wake few years ago.
Duuuh we Mkali noma sana
 
Mtu hamjuani UNAMTONGOZAJE?
Na anayetongozwa anaAKILI ya kuazima itakua.
 
Hilo swali rahisi endapo unafahamu uliyemuomba akupe namba ya simu! Pia usiloliweza wewe, watu wengine wanaliweza tena kirahisi! Acha maswali ya Kijinga!
 
Wanawake kwa kweli mliishatutesa sie Wanaume mpaka basi dah! Ila nyie ole wenu………………!

Bwana nilishwahi kuchukua namba ya Binti fulani ni Mwanafunzi wa MUHAS, kujibu hayo maswali yake ya Kitoto niliweza sana! Aisee kumbe alikuwa ananilia timing, Looh! nikimpigia simu au kumtumia sms kama hayuko bize basi hapokei simu wala kujibu sms ila ikiwa bize anapokea simu na pia anajibu sms zangu! hadi nikiwa nashangaa! ila baadae nilifuta namba yake, sikupenda usumbufu wa kujitakia!
 
Back
Top Bottom