😘😘 hehehehHhahhaah acha bas jaman…. Matusi ni kidogo tu kwa afya baada ya kunipa muongozo
Sawa mkuuNothing to see, fanya kweli
Karibu binti...Sawa mkuu
Usicheke bas hhehehe😘😘 heheheh
Na wewe kufurahi ni lazima...Usicheke bas hhehehe
Ni sababu yako mpenzi…Na wewe kufurahi ni lazima...
Sawa sweetheart...Ni sababu yako mpenzi…
Familia yenye umoja na upendo je?Vyote vinapatikana bila kuoa, so demand ya kuoa imepungua.
Mkuu hivi unazani Kwa maisha ya mtanzania wa kawaida ili kumudu maisha inabd awe anakipato Cha shngap Kwa siku? Wengine tunaona kiuchumi bado hatupo sawaKiukweli,
Vijana muoe,
Narudia Tena, vijana muoe.
Ndoa Ina Raha yake Bhana
Mke wangu MAMA G nakuombea sana MUNGU akupe maisha marefu.
Japo nachepuka Sana,
ila UKWELI wee ndo nnaekupenda Sana MKE wangu.
Na HAKIKA, SIJUTII kabisa KUKUOA![]()
Huruma,kuna vituko nimeshavifanya mtu analia hata siku nne na ukitazama hana ramani huko kwao inabid muda mwingine kumvumiliaSasa sii umbwage tuu kwani lazima ukae kwenye ndoa
, ni kama masihara ika kuna kaukweli ndani. Dada zetu hawana mipango, wao wanatoa tu mzigo, akiitwa getho anakaa wiki 2, jamaa anaichabangaaa, binti anaondoka kaishasafisha nyumba, kafua na kila kitu, sasa hapowajuba ngumu kuoa.Kikao kimeanza kufanyiwa kazi.Dah
Hivi kwani mmesahau tulivyo kubaliana siku ya kikao cha mwisho..!!??
Huo ni ukweli kabisa maziwa tunapata sasa kufugana ya nini tenaKuna jamaa yangu yeye kauli yake huwa "maziwa napata, sasa nifuge ng'ombe wa nini"
, ni kama masihara ika kuna kaukweli ndani. Dada zetu hawana mipango, wao wanatoa tu mzigo, akiitwa getho anakaa wiki 2, jamaa anaichabangaaa, binti anaondoka kaishasafisha nyumba, kafua na kila kitu, sasa hapowajuba ngumu kuoa.
Hivi Hilo shepu kwenye avatar ni lako?Nasoma comments
Niaje wee jamaa ..nigee Ile namba Ako nikutafute.Vyote vinapatikana bila kuoa, so demand ya kuoa imepungua.
Amorniza ana vituko sana 😂😂😂😂🤣🤣🤣Siku hizi unaoa ili upate nini?
Kama ni mbususu zipo za kumwaga.
Kama ni mtoto unaweza kumpata hata bila kuoa.
Mapenzi menyewe yamegeuka na kuwa biashara.
Na ukijichanganya ukaoa hawa wasomi uchwara hawa wanaharakati ndo umekwisha kabisa.
Ni lazima kupiga mahesabu sana aisee vinginevyo ndoa siku hizi ni liability kubwa inayoweza kugharimu maisha yako....
View attachment 2181078