Kwanini wanaume wengi hawataki kuoa?

Kwanini wanaume wengi hawataki kuoa?

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Hata tulioa tumeoa tu basi sio kwa kupenda sisi tulikutana na ving'ang'aniz kwa vile na sie ni wapole tukaamua kuwa nao tu hvyo hvyo ila kwasasa wengi hawapend kabsa kuwa na wake maana wadada wasasa wengi kutafuta hela hawajui ila wote wanataka mwanaume mwenye pesa na anaetoa pesa kwa mke
 
Sasa sii umbwage tuu kwani lazima ukae kwenye ndoa
 
Back
Top Bottom