Kwanini wanaume wengi hawataki kuoa na kuishi na mwanamke pamoja?

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari za wakati huu ndugu zangu.

Mimi kama mwanaume nafahamu wazi kabisa ndoa ni baraka na ina mambo mengi mazuri na mabaya ndani yake , pia tumeamriwa tuishi na wanawake kwa akili kwa kuzingatia wanaume tuna vichwa viwili.

Sasa najiuliza sana ni kwanini vijana wengi hawataki kuoa . je, ni nini kinasababisha hasa vijana kukataa kuoa na nini kifanyike kuondoa tatizo hili?
 
Umasikini na fikra potofu pamoja na umalioo
 
Kuoa tunawaachia matajiri. Inatakiwa selikari iweke sheria kijana mwenye uchumi wa kupata kuanzia milioni 3 kwa mwezi aoe. Wastani wa laki kwa siku unaweza endesha familia bila shida. Sasa akina ndugu na mimi ambao tunamiliki simu nayo ikivunja tu kioo unasubiri mwisho wa mwezi kuitengeneza tuoe ili iweje. Uchumi wako uko chini ya ten per day
 
Dunia ya sasa umuhimu wa kuoa na kuolewa umepungua mno , mambo ya usawa wa kijinsia yamekuja kuvunja mambo ya ndoa ,kama kila mtu me na ke wanatoka asubh na kurudi jioni kusaka maisha kuna umuhimu gani wa kuwa pamoja eti kisa malezi wakati watoto wana shinda na mdada wa kazi au wanaenda day care , bora kuishi mwenyewe kuepusha stress za kujitakia, ili ndoa idumu mmoja akubali kuwa mtumwa kwa mwenzake kinyume na apo kila siku tutatafuta mchawi.
 
Ndoa sio Fashion Show Kuoa ni zaidi ya Kuishi Pmj ni Zaid ya Sherehe ya Harusi ? Ndoa ni SAKARAMENT TAKATIFU

Na kwa Iman za Kikristu Ndoa ni 1 ni Bora kuchelewa lkn upate mtu ambae mtatimiza vyema hiyo SAKARAMENT ya 7. Kwenu nyie mnaoa na kuandika talaka ili Swali ndy muulizwe
 
Habari za wakati huu ndugu zangu.

Mimi kama mwanaume nafahamu wazi kabisa ndoa ni baraka na ina mambo mengi mazuri na mabaya ndani yake , pia tumeamriwa tuishi na wanawake kwa akili kwa kuzingatia wanaume tuna vichwa viwili.

Sasa najiuliza sana ni kwanini vijana wengi hawataki kuoa . je, ni nini kinasababisha hasa vijana kukataa kuoa na nini kifanyike kuondoa tatizo hili?
Nguvu ttz
 
Back
Top Bottom