Kwanini wanaume wengi hawataki kuoa?

Kwanini wanaume wengi hawataki kuoa?

Mbona wanawake wanalalamika siku hizi kuwa hawaoni waoaji, kwani vipi wanaume siku hizi mnaogopa kuoa au ponyeto inafanya kazi uko kwenu?

Chukueni majiko bwana tupunguze idadi ya wanawake wengi ma single mitaani

Ila wanawake na Ninyi mmezidi bwana

Zile kauli zenu mnataka wanaume warefu zilishia wapi?

Yaani siku hizi imekuwa shida ukimtongoza mwanamke hapo hapo hivyo unakuwa mume
Na bado

Mpaka Neno la nabii isaya litimie :ISAYA 4

1Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.
Wanaume wa sasa hawana pesa za mahali.... Wako na pesa za kwenda kidimbwi...... Kwa hyo ukitaka kuolewa nenda ishi nae sogea tukae
 
Siku hizi unaoa ili upate nini?

Kama ni mbususu zipo za kumwaga.

Kama ni mtoto unaweza kumpata hata bila kuoa.

Mapenzi menyewe yamegeuka na kuwa biashara.

Na ukijichanganya ukaoa hawa wasomi uchwara hawa wanaharakati ndo umekwisha kabisa.

Ni lazima kupiga mahesabu sana aisee vinginevyo ndoa siku hizi ni liability kubwa inayoweza kugharimu maisha yako....
View attachment 2181078
Bahati mbaya kadri unavyosubiri hali ndo inazidi kua tight . Fanya maamuzi
 
Kiukweli wanaume wapo wadada msidanganyike.
Sio lazima muolewe na watanzania.
Ndio maana Mungu aliumba dunia na inapembe 4 za dunia

So wasiwatibue ...........
Kweli .....
Kama hakuna tz kuna east africa , kuna south Africa, kuna north africa , west africa, kuna america , kuna canada nchi zipo nyingi nawao wana south , east , west , north zote hizo lazima upate wako
Changamoto ni exposure. Unazani chance ya kukuta na mtu wa nje ni kubwa ? Mtanzania anapaswa kuolewa na mtanzania mwenzake .
 
Waoe kwa uchumi gani walionao vijana, acheni kuwaongezea stress juu ya zile walizokuwa nazo.

Just think, tangu 2014 hakuna ajira za moja kwa moja toka serikalini, private sector nayo inapumulia mirija. Kijana aliyemaliza chuo 2014 akiwa 21-22, leo ungetegemea awe ametulia kiuchumi na kuanza kufikiria ndoa...

..lakini bado yupo kitaa hajui aanze vipi, waacheni vijana aisee!!
 
Mama zetu walilelewa ktk mfumo wa do or die lakini dumu kwenye ndoa yako.
Pia walifundishwa jinsi wa kumliwaza mwanaume.

Leo ni mabinti wangapi wanapelekwa hata unyagoni kufundishwa Mila na desturi za mtoto wa kike?

Wanawake wa Leo hata aibu usoni hawana.
Ni kweli hawana, maadili halisi ya kiafrika ni maadili bora zaidi.
 
Waoe kwa uchumi gani walionao vijana, acheni kuwaongezea stress juu ya zile walizokuwa nazo.

Just think, tangu 2014 hakuna ajira za moja kwa moja toka serikalini, private sector nayo inapumulia mirija. Kijana aliyemaliza chuo 2014 akiwa 21-22, leo ungetegemea awe ametulia kiuchumi na kuanza kufikiria ndoa...

..lakini bado yupo kitaa hajui aanze vipi, waacheni vijana aisee!!
Hongera mzee! Umeongea kwa kwa hekma na busara.
 
Mbona wanawake wanalalamika siku hizi kuwa hawaoni waoaji, kwani vipi wanaume siku hizi mnaogopa kuoa au ponyeto inafanya kazi uko kwenu?

Chukueni majiko bwana tupunguze idadi ya wanawake wengi ma single mitaani

Ila wanawake na Ninyi mmezidi bwana

Zile kauli zenu mnataka wanaume warefu zilishia wapi?

Yaani siku hizi imekuwa shida ukimtongoza mwanamke hapo hapo hivyo unakuwa mume
Na bado

Mpaka Neno la nabii isaya litimie :ISAYA 4

1Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.
😂
 
Screenshot_20220430-201630.png

Screenshot_20220430-201734.png
 
Liberty and pursuit of happiness sahau ukijitwika minyororo ya to love ,to cherish and to hold until death do us apart 🙂 🙂
😂😂Pursuit of happiness ukimwangalia mwamba anavyopitia magumu ukamfeel vizuri unaweza mwaga chozi la kiume
 
Wnawake wa siku wamekuwa malaya sana ndio maana wanaume hawawaoi.....wanaoa bora wabaki kuwa bachela badala ya kuoa malaya wasiotabirika.
Mbona wanawake wanalalamika siku hizi kuwa hawaoni waoaji, kwani vipi wanaume siku hizi mnaogopa kuoa au ponyeto inafanya kazi uko kwenu?

Chukueni majiko bwana tupunguze idadi ya wanawake wengi ma single mitaani

Ila wanawake na Ninyi mmezidi bwana

Zile kauli zenu mnataka wanaume warefu zilishia wapi?

Yaani siku hizi imekuwa shida ukimtongoza mwanamke hapo hapo hivyo unakuwa mume
Na bado

Mpaka Neno la nabii isaya litimie :ISAYA 4

1Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.
 
Mbona wanawake wanalalamika siku hizi kuwa hawaoni waoaji, kwani vipi wanaume siku hizi mnaogopa kuoa au ponyeto inafanya kazi uko kwenu?

Chukueni majiko bwana tupunguze idadi ya wanawake wengi ma single mitaani

Ila wanawake na Ninyi mmezidi bwana

Zile kauli zenu mnataka wanaume warefu zilishia wapi?

Yaani siku hizi imekuwa shida ukimtongoza mwanamke hapo hapo hivyo unakuwa mume
Na bado

Mpaka Neno la nabii isaya litimie :ISAYA 4

1Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.
Wanawake wakisema hawaoni wa kuwaoa, haimaanishi wanaume hawataki kuoa! Bali vigezo walivyojiwekea wanawake, hawavioni kwa wanaume wanaowatokea.
 
inasikitisha sana!
halafu kwa bahati mbaya awe thate plus

Lakini kama watakuwa tayari kujigharamikia mahitaji yao binafsi, tutaoa hata kumi kumi, kikubwa si jina tu na kuchakata mbususu zao?
 
Wala usiwe na haraka mwana....very soon wanawake wataanza kuomba kuwa wake wa pili.....gud times are coming
 
Back
Top Bottom