Kwanini wanaume wengi hawataki kuoa?

Kwanini wanaume wengi hawataki kuoa?

Sio wote mkuu, kuna kina sie tunahitaji wa kuwaoa, ila mamanzi wengi wanaanza uliza

Unafanya kazi gani???

Mshahara wako shi ngapi???

Umejenga???

Sasa anakuta mwamba una ka-subwoofer, kitanda,taulo na ndala za kuogea ,anachora , anataka mtu mwenye Benz au V8.

Eee Mungu walainishe mioyo hawa wadada wakubaliane na hali zetu...
A
Sio wote mkuu, kuna kina sie tunahitaji wa kuwaoa, ila mamanzi wengi wanaanza uliza

Unafanya kazi gani???

Mshahara wako shi ngapi???

Umejenga???

Sasa anakuta mwamba una ka-subwoofer, kitanda,taulo na ndala za kuogea ,anachora , anataka mtu mwenye Benz au V8.

Eee Mungu walainishe mioyo hawa wadada wakubaliane na hali zetu...
Amen
 
Hela imeharibu sana maana ya ndoa, mademu wengi dream zao zipo kwenye mifuko ya wanaume na ndio maana wengine wanadanga mpaka kwenye ndoa, yaani mume anakuwa danga na si MWENZI wa maisha.

Hapo bado kuna wale wa 50/50 hawa ndio wanakutoa pumu ukiwaoa.

Hamna mtihani mgumu kwa mwanaume kama kupata mke mwema, huwaga naulizwa "utaoa lini " Jibu sina sababu najua vimeo ninavyokutana navyo ni full vichomi.

Huu utafiti wako unaweza kuwa kweli ktk kampuni tatu nilizofanya katika kitengo nilivyokuwa navifanyia kazi 70% hawajaoa na sidhani kama wana mpango japo wapo walio na watoto.
Usijali mkuu baada ya miaka kumi wataanza kututafuta wenyewe...ilishatabiriwa bado wao kutimiza maandiko tuu
 
Kuoa ni Sawa na kufuga chatu ambaye hata hujuwi utamlisha nini.

Kuna siku njaa itamzidi na atakumeza wewe unayemfuga .

Mwanamke ni mdudu mbaya Sana hapa duniani.

Wengi wameharibikiwa sababu ya mwanamke.
Ni Bora kukaa nae mbali kabisa.
Kuliko kuishi nae nyumba moja.
Kweli, mama zetu na bibi zetu tu angalau walikuwa ma super woman.
 
Liberty and pursuit of happiness sahau ukijitwika minyororo ya to love ,to cherish and to hold until death do us apart 🙂 🙂
 
Kweli, mama zetu na bibi zetu tu angalau walikuwa ma super woman.
Mama zetu walilelewa ktk mfumo wa do or die lakini dumu kwenye ndoa yako.
Pia walifundishwa jinsi wa kumliwaza mwanaume.

Leo ni mabinti wangapi wanapelekwa hata unyagoni kufundishwa Mila na desturi za mtoto wa kike?

Wanawake wa Leo hata aibu usoni hawana.
 
Back
Top Bottom