Kwanini wanaume wengi hawapendi kutumia Kinga?

Kwanini wanaume wengi hawapendi kutumia Kinga?

Hapana, wanaume mna shida sana kwenye hilo swala. Unajua pale unapomchezea anapoteza kabsa mawazo ssa kwnn ww kama unakumbuka husivae.???
Me napingana na ww miaka mia wanawake ni wagum kutumia condom tena mnavisa sana kwenye ilo swala mara ooh! Inanichubua or inaniuza ainaradha bas nitfran tupu kuna wengine wanakuvua kabisa
 
Vitabu vitakatifu vimetafsiriwa kwa hali ya maisha ya zamani sio haya maisha ya ssa yenye magonjwa ya kila aina
Kwahiyo vitabu vitukufu vimeruhusu zinaa ,watumiaji wa kondomu ni wazinifu huwezi kuvaa kondomu kwa mke wako

Point yako ni invalid
 
Soma biblia na kuielewa usi kariri kinga zipo za aina nyingi mfn kupata kalenda kuepuka mimba isiyo tarajiwa.
 
Hapana, wanaume mna shida sana kwenye hilo swala. Unajua pale unapomchezea anapoteza kabsa mawazo ssa kwnn ww kama unakumbuka husivae.???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua we dada hauko serious... Unapotezaje mawazo kwenye swala muhimu km hilo ...we.. SemA. Hupend kutumia kinga
 
Kumekuwa Na wimbi kubwa sana la wanaume kutopenda kutumia kinga (condom) na mwanamke husipouliza basi yeye twende kazi. Sijui ni kwanini hichi kitu kinatokea.
We hujui kwanini? Embu acha masihara usifananishe kavu na vitu ingine
 
Mimi ni kijana wa miaka 30, kipindi cha nyuma nilikua mpenzi sana wa kupiga puchu (NYETO) Ila nikaacha taratibu japo sometimes huwa nakumbushia kimtindo.

Ulevi ukahamia kwenye papuchi yaani sahivi nimekua chronicle hatari, na mbaya zaidi nimekua kama kuku yaani nagegeda yoyote aliepo mbele yangu awe dada poa au wa geti kali, na siwezi kumaliza siku3 bila mgegedo sasa inshu inakuja hapa nimekua siwezi kutumia kondom kabisa toka maisha yangu yote ya nyuma.

Hii kitu imenifanya niwe muoga na kujikuta nakua ni mtu wa kwenda kupima afya mara kwa mara, na kwa bahati nzuri nakuta niko salama kabisaa zaidi ya kupata magonjwa ya kawaida tu km UTI imefika wakati natamani nijali afya yangu ila nashindwa kujicontrol katika hili kwanza kuacha kuchanganya mademu na kuweza kutumia kondomi ebu nisaidieni nifanye nini ili kuondokana na hilo tatizo wana JF wenzangu..
 
Jamani ebu msaidieni kijana mwenzenu mbona povu jingi sana km mmemeza omo vipi wakuu[emoji21]
 
Back
Top Bottom