Kwanini wanaume wengi hawapendi kutumia Kinga?

Kwanini wanaume wengi hawapendi kutumia Kinga?

Mi naona wanawake ndio sana. Karibia 80% ya madem wote niliowah kupita walikua wanadai kinga zinawachubua alaf hawa-enjoy utamu, so kiboko kitu mtelezo wa ngozi kwa ngozi. ..
 
Kumekuwa Na wimbi kubwa sana la wanaume kutopenda kutumia kinga (condom) na mwanamke husipouliza basi yeye twende kazi. Sijui ni kwanini hichi kitu kinatokea.
Unaweza ukadhani uko sahihi kwa mtazamo wako! unaweza kutueleza ni idadi ya wanaume ambao umeshalala nao ambao hawakutumia kinga?
 
Yaani unakutana mpenzi wako eneo la tukio unamfanyia mbwembwe zote na anakuomba umnyonye k, afu anaanza sema vaa ndom, mbona hamsemi tuvalishe ndimi zetu?
 
Vitabu vitakatifu vimetafsiriwa kwa hali ya maisha ya zamani sio haya maisha ya ssa yenye magonjwa ya kila aina
Kama vimetafsiriwa kwa maisha ya kale mbona mkioana mnafanya bila kinga au uaminifu unakuwa 100%
 
Ukweli utabaki utamu wa K kavu tuu, kama wataka na ndomu bora uninyime kabisa papuchi yako.
Kwangu sioni tofauti na punyeto nikivaa kinga.
 
Kumekuwa Na wimbi kubwa sana la wanaume kutopenda kutumia kinga (condom) na mwanamke husipouliza basi yeye twende kazi. Sijui ni kwanini hichi kitu kinatokea.
Hata kuna wanawake ukisema mtumie kinga Analia eti humuamini ila ni muhim hata nyinyi kutembea na kondumu mfukoni au kwenye pochi zenu in case jamaaa anasema amekosa unamtolea
 
Hii iko vice versa. 99% ya wasichana niliokutana nao hawataki kondom wanasema zinawaumiza.
 
Asante kwa kujali Afya yako na Mwenza wako
1. Kwa kuwa siku hizi kuna Condom za Kike na za Kiume ni busara wewe uwe una vaa in advance b4 show.
2. Ukimwambiea Janamume vaa Condom akakataa na wewe ukakubali kuliwa bila gloves basi utilie shaka ubongo wako.
3. Ukitaka utamu zaidi tafuta mmoja funga ndoa, pima, ishi kwa uaminifu then kula kitu dry ni taaaamu saaaana
Lakini usisahau, inakisiwa wanandoa wengi ndio wameadhirika ktk wale walioadhirika.
 
Kwani si mmeletewa na wazungu za kwenu sasa unalialia nini?ulivaa mwanaume akakuambia uvue?
 
Hata kuna wanawake ukisema mtumie kinga Analia eti humuamini ila ni muhim hata nyinyi kutembea na kondumu mfukoni au kwenye pochi zenu in case jamaaa anasema amekosa unamtolea
Hio ndo habar maana hamna namna kbsa
 
Mm ni `me' nilishawah kutumia kondom kwa mpenz wangu alilalamika sana kwamba anaumia na nilichelewa kwel kutoa wazungu wa niga, baada ya hapo kila nikikutana na Manzii hatak condom.
 
Back
Top Bottom