Kwanini wanaume wengi hawapendi kutumia Kinga?

Kwanini wanaume wengi hawapendi kutumia Kinga?

Mimi condom siipendi kwa kweli yaani nikiiona naweza hata kutapika ndio maana ujanani kwangu swala la kucheck afya lilikuwa la muhimu sana maana nyama kwa nyama ina raha yake bhana
 
Mimi condom siipendi kwa kweli yaani nikiiona naweza hata kutapika ndio maana ujanani kwangu swala la kucheck afya lilikuwa la muhimu sana maana nyama kwa nyama ina raha yake bhana
Kabisa, nimefanikiwa mm kabla sijafanya nae tunaenda kupima na weng wanakubali.
 
Uwo utafiti wa wapi mamy umeufanya?dunia ya shv ilivyojaa magonjwa mengi ni nani anayekubali kwenda na mwenzake dry?labda km ni mpnz wako wa siku nyingi mnaaminian hapo sawa,ila tu mtu ukutane nae frm n whr mzoean siku mbili tatu na yy akubari kwenda dry mmh ukikutan na mtu km huyo mwekee umakin kidogo,lbd hana uwakika na afya yake,au kasha kata tamaa,au hajapata elimu ya kujali afya yake
Au yote kwa pamoja.
 
Wote wasiotumia kinga nje ya ndoa kabla hawajajithibitishia usalama wao hawajitambui....
 
"Wimbi kubwa sana". Najaribu kufikiria hiyo body count.

But anyway, some pieces are worth saying YOLO and sing along with the Bastard...."hey baby I like it raw, yeah baby I like it rawww". But smart cats know better; gotta stand up to your balls, and put on the gloves.
 
Wa hivyo ujue ana magonjwa hivyo anataka akugawie kidogo ugonjwa, lakini kwa wale ambao wapo fiti hawana magonjwa lazima kwanza mkapime alafu mengine ndio yanafuata
 
Mimi condom siipendi kwa kweli yaani nikiiona naweza hata kutapika ndio maana ujanani kwangu swala la kucheck afya lilikuwa la muhimu sana maana nyama kwa nyama ina raha yake bhana
Mtafutaji hachoki. Itakuwa wewe ni mpenzi wangu wa zamani, tufanye kukutana tuoneshane mipaka ya bahari..
 
mh, hata nyoka akipita pemben tena mbele ya macho yangu huwa simuoni, ndo ntakumbuka condom? kikubwa hapo ni kukumbushana kabla hata stimu zijalipiwa.
 
Mtafutaji hachoki. Itakuwa wewe ni mpenzi wangu wa zamani, tufanye kukutana tuoneshane mipaka ya bahari..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hilo jina lako uwezekano wa kuwa ex wangu ni 90%
 
Back
Top Bottom