Kwanini wanaume wengi hawapendi kutumia Kinga?

Yaan kama uko 30+ then huna self- control katk ngono mtoto wa kiume huo n umama
Na miaka hyo huna familia mzee baba
OA sasa ndio muda huo
 
Basi ngoja nifanye chambuzi nioe tuu naona itasaidia kucontrol hii kitu mkuu asante
Yaan kama uko 30+ then huna self- control katk ngono mtoto wa kiume huo n umama
Na miaka hyo huna familia mzee baba
OA sasa ndio muda huo
 
Mimi ni kijana wa miaka 30, kipindi cha nyuma nilikua mpenzi sana wa kupiga puchu (NYETO) Ila nikaacha taratibu japo sometimes huwa nakumbushia kimtindo.

Ulevi ukahamia kwenye papuchi yaani sahivi nimekua chronicle hatari, na mbaya zaidi nimekua kama kuku yaani nagegeda yoyote aliepo mbele yangu awe dada poa au wa geti kali, na siwezi kumaliza siku3 bila mgegedo sasa inshu inakuja hapa nimekua siwezi kutumia kondom kabisa toka maisha yangu yote ya nyuma.

Hii kitu imenifanya niwe muoga na kujikuta nakua ni mtu wa kwenda kupima afya mara kwa mara, na kwa bahati nzuri nakuta niko salama kabisaa zaidi ya kupata magonjwa ya kawaida tu km UTI imefika wakati natamani nijali afya yangu ila nashindwa kujicontrol katika hili kwanza kuacha kuchanganya mademu na kuweza kutumia kondomi ebu nisaidieni nifanye nini ili kuondokana na hilo tatizo wana JF wenzangu..
muuone daktari una tatizo
 
Kuna ka mkoa jirani nilipita last week jamaa walisha acha siku nyingi kutumia hayo makitu ya wadhungu, ni mwendo wa peku kwa kwenda mbele.
 
Mimi ni kijana wa miaka 30, kipindi cha nyuma nilikua mpenzi sana wa kupiga puchu (NYETO) Ila nikaacha taratibu japo sometimes huwa nakumbushia kimtindo.

Ulevi ukahamia kwenye papuchi yaani sahivi nimekua chronicle hatari, na mbaya zaidi nimekua kama kuku yaani nagegeda yoyote aliepo mbele yangu awe dada poa au wa geti kali, na siwezi kumaliza siku3 bila mgegedo sasa inshu inakuja hapa nimekua siwezi kutumia kondom kabisa toka maisha yangu yote ya nyuma.

Hii kitu imenifanya niwe muoga na kujikuta nakua ni mtu wa kwenda kupima afya mara kwa mara, na kwa bahati nzuri nakuta niko salama kabisaa zaidi ya kupata magonjwa ya kawaida tu km UTI imefika wakati natamani nijali afya yangu ila nashindwa kujicontrol katika hili kwanza kuacha kuchanganya mademu na kuweza kutumia kondomi ebu nisaidieni nifanye nini ili kuondokana na hilo tatizo wana JF wenzangu..
wewe utawezaje kula ndizi na ganda lake??????
 
1. Kama Unapenda Ngono Tena Kavu kavu Basi Tambua Una Nyota Ya UKIMWI.

2. Wewe Endelea Tu Kupima Pima Ipo Siku Isiyo Na Jina Hicho Unachokitafuta Utaambiwa Unacho.

Usisahau Kuleta Mrejesho.
 
Back
Top Bottom