BoGotta
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 740
- 675
Hii ni according to biology ya la ngapi vileee!!!sahihi kabisa idadi kubwa wenye VVU ni wanawake hii ni kutokana na ratio ya mwanaume mmoja kuwa na wanawake wa 5
Hii ni according to biology ya la ngapi vileee!!!sahihi kabisa idadi kubwa wenye VVU ni wanawake hii ni kutokana na ratio ya mwanaume mmoja kuwa na wanawake wa 5
Khhaaa!!! Analia Nini Sasa??Si kweli wanawake ndo wagum kutumia condom anakumbuka condom mshamaliza ndo anajifanya kulia
Siyo pipi ya gegedo, namaanisha pipi ya ukweli, unaweza kuila na maganda yake?Napenda haswa kwa mpnz ambaye simuamini
Ssa pipi ya ukwel utailaje Na gandaSiyo pipi ya gegedo, namaanisha pipi ya ukweli, unaweza kuila na maganda yake?
Na nyie c MNA kondom zenu (za kike) kwann mcivae!! Ucitake kusingizia wanaume...tuu...afu umejuaje kuwa wanaume wengi hawapendi kuvaa kondom....Kumekuwa Na wimbi kubwa sana la wanaume kutopenda kutumia kinga (condom) na mwanamke husipouliza basi yeye twende kazi. Sijui ni kwanini hichi kitu kinatokea.
Nadhani mpaka hapo thread ifungwe tu manake umeshajijibu mwenyewe....Ssa pipi ya ukwel utailaje Na ganda
Et ujatumia condom alikua kwenye siku zaatari!Khhaaa!!! Analia Nini Sasa??
Inatokea tu bila kutarajia,Na kwanini ukutane na mtu from no where?
Kuwa makini utakufa bila kutarajia?Inatokea tu bila kutarajia,
Tatizo kule kubana hakupo plus Kondomu Ndo kabisa Nitatumia Masaa matatu sijamaliza mpaka naona tu huruma nashuka,, utamu haupoKumekuwa Na wimbi kubwa sana la wanaume kutopenda kutumia kinga (condom) na mwanamke husipouliza basi yeye twende kazi. Sijui ni kwanini hichi kitu kinatokea.
i support, vibamia havipend kinga jaman uuwwiivibamia ndo zao
Takwimu zinasema wanandoa ndio wanaongoza kwa kusambaza magonjwa ya zinaa kama ukimwi wewe unasemaje kwa mtizamo wako?Ssa hapo unakua ndani ya ndoa Na maadili ya ndoa husichepuke na husipochepuka hakna umuhimu wa kutumia kinga sabbu mnaamniana Na n njia ya kuongeza dunia
Soma nilichokiandika mwanzoni alafu ndo upimishe na maneno yko km nipo makini au raha,pitia cmnt yng y kwanza alafu ringanish n jibu lako alafu chukua hatuaKuwa makini utakufa bila kutarajia?
Ulisema inakuwaje mpaka mtu unafanya bila condom na mtu from no where...nikauliza ni kwanini ufanye na mtu from no where ukajibu inatokea bila kutarajia nami nikasema utakufa bila kutarajia...nimekosea wapi?Soma nilichokiandika mwanzoni alafu ndo upimishe na maneno yko km nipo makini au raha,pitia cmnt yng y kwanza alafu ringanish n jibu lako alafu chukua hatua