don machete
Member
- Oct 11, 2018
- 52
- 72
Achan na ndom sio nzur kabis
Achan na ndom sio nzur kabis
😂😂😂mpk ujifunze unyenyekevu ndo tutakujibu vzrJamani ebu msaidieni kijana mwenzenu mbona povu jingi sana km mmemeza omo vipi wakuu[emoji21]
[emoji23][emoji23][emoji23]mpk ujifunze unyenyekevu ndo tutakujibu vzr
😂😂[emoji1][emoji1][emoji1]nimejikuta nacheka kwa nguvu saana duh una mambo mkuu
yap wewe ni mzeebaba kama zeroiqMiaka 30 ni mzee ?
Wewe ni mshamba wa mikoani
yap wewe ni mzeebaba kama zeroiq
Tulikupenda zaidi ila.....😢Mimi ni kijana wa miaka 30, kipindi cha nyuma nilikua mpenzi sana wa kupiga puchu (NYETO) Ila nikaacha taratibu japo sometimes huwa nakumbushia kimtindo.
Ulevi ukahamia kwenye papuchi yaani sahivi nimekua chronicle hatari, na mbaya zaidi nimekua kama kuku yaani nagegeda yoyote aliepo mbele yangu awe dada poa au wa geti kali, na siwezi kumaliza siku3 bila mgegedo sasa inshu inakuja hapa nimekua siwezi kutumia kondom kabisa toka maisha yangu yote ya nyuma.
Hii kitu imenifanya niwe muoga na kujikuta nakua ni mtu wa kwenda kupima afya mara kwa mara, na kwa bahati nzuri nakuta niko salama kabisaa zaidi ya kupata magonjwa ya kawaida tu km UTI imefika wakati natamani nijali afya yangu ila nashindwa kujicontrol katika hili kwanza kuacha kuchanganya mademu na kuweza kutumia kondomi ebu nisaidieni nifanye nini ili kuondokana na hilo tatizo wana JF wenzangu..
yeahh
Wewe bado kijana bana, mbona Polepole kijanaKwani kijana mwisho miaka mingapo mkuu?!
Oa....