Ngoja mzee wa fonti feji aje atolee ufafanuzi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama umesoma mpaka chuo na sio mbishi utakubaliana na maneno yangu kwamba wanaume/wavulana wengi tuko shallow english tofauti na wanawake, hili nimeliona tulivyokuwa secondary kupitia debates, pia chuo kwenye presentations, wanawake wengi wako smart kwenye Lugha hii hawana makosa mengi ya grammar kama sisi wanaume. JADILI.....
Wako bize na kaziKama umesoma mpaka chuo na sio mbishi utakubaliana na maneno yangu kwamba wanaume/wavulana wengi tuko shallow english tofauti na wanawake, hili nimeliona tulivyokuwa secondary kupitia debates, pia chuo kwenye presentations, wanawake wengi wako smart kwenye Lugha hii hawana makosa mengi ya grammar kama sisi wanaume. JADILI.....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] may something as heavy as Le Mutuz sit on your destiny...Kwa hiyo makamu anajua kingreza zaid kuliko rais
Wanaokitukuza ambao ni wap**zi nawe umo?,utambulisho wa jina la avatar yako kwa kiingereza ni kwamba unawatukuza wazungu...Iga mfano wa n'yadikwa avatar ya ki lughaUpuuzi upuuuzi mtu anaongelea kingereza kama ni kitu muhimu kwenye maisha nasisitiza ni mabaki ya ukoloni kingereza kutumimiwa kama kipimo cha uelewa au elimu ya mtu ni bado ni upuuzi wa hali ya juu lugha ambayo ukienda uingereza ambayo kwao ni lugha mama inazungumzuwa na na waliosoma.na wasiosoma na vichaa kila unamjua sisi wamekuja kututawala tuone ligha yao ndio kila kitu mataifa mengi yamesimamia lugha zao china,france,germany,na kadhalika lakin had leo kuna mtanzania anaona kuongea kingereza ana nyezo kubwa sana maishani mpuuzi ukijisimamia na kujitegemea hakuna atakae kuwa na shida ya kujua kingereza..mchezaji Mess hajui kingereza hakuna anamuuliza ila mchezaji wa tanzania akienda ulaya akiwa haongei kingereza mtaanza kumcheka ma kuhoji kwa nini hajui..!
Kama umesoma mpaka chuo na sio mbishi utakubaliana na maneno yangu kwamba wanaume/wavulana wengi tuko shallow english tofauti na wanawake, hili nimeliona tulivyokuwa secondary kupitia debates, pia chuo kwenye presentations, wanawake wengi wako smart kwenye Lugha hii hawana makosa mengi ya grammar kama sisi wanaume. JADILI.....
Jinsia yako tafadhaliKama umesoma mpaka chuo na sio mbishi utakubaliana na maneno yangu kwamba wanaume/wavulana wengi tuko shallow english tofauti na wanawake, hili nimeliona tulivyokuwa secondary kupitia debates, pia chuo kwenye presentations, wanawake wengi wako smart kwenye Lugha hii hawana makosa mengi ya grammar kama sisi wanaume. JADILI.....
jiamini rafiki, englishni kama kizaramo tu. ukiamua kuwa makini uanweza. ila ukiamini huwezi hautaweza ng'oIla demu wako anajua zaidi
Sema kwamba wako vizuri katika speaking, ila kwa uandishi naweza kukupinga hapoKama umesoma mpaka chuo na sio mbishi utakubaliana na maneno yangu kwamba wanaume/wavulana wengi tuko shallow english tofauti na wanawake, hili nimeliona tulivyokuwa secondary kupitia debates, pia chuo kwenye presentations, wanawake wengi wako smart kwenye Lugha hii hawana makosa mengi ya grammar kama sisi wanaume. JADILI.....
The ans is very simple . English ni lugha tu kama lugha nyingine. Utafiti unasema wakati wanaume wanapoongea maneno elfu tano kwa siku wanawake wanaongea elfu ishirini. Kujua lugha kunahusisha kuongea mara kwa mara. So jibu umepata.Kama umesoma mpaka chuo na sio mbishi utakubaliana na maneno yangu kwamba wanaume/wavulana wengi tuko shallow english tofauti na wanawake, hili nimeliona tulivyokuwa secondary kupitia debates, pia chuo kwenye presentations, wanawake wengi wako smart kwenye Lugha hii hawana makosa mengi ya grammar kama sisi wanaume. JADILI.....
Upo sahihi kabisa,kwa sisi tuliosoma linguistic tuliona kwamba katika ubongo kuna sehemu zinazojishughulisha na lugha. Sehemu hizo zinaitwa right and left hemisphere.Kwa wanawake sehemu zote zinajishughulisha na masuala ya lugha hasa kuamiri(aquisition) na kuimudu(competence).Kwa upande wa wanaume ni kipande kimoja tu kinachojishughulisha na lugha ambapo matokeo yake ndo hayo kama ulivyosema. Kwa msingi huo ndo maana jinsia ya kike huwa rahisi sana kujua lugha haraka kuliko jinsia ya kiume. Jaribu kuchunguza hata watoto wadogo wenye umri sawa wa kiume na wa kike nani utangulia kuongea.Watafiti hebu njooni pande hii. Niliwahi soma mahali ya kuwa hayo ni maumbile kuwa Wasichana/wanawake wepesi zaidi kujifunza lugha kuliko wanaume( exceptions jazikosi of course) . Tunautaka usawa yes lakini tukubali maumbile yanatofautiana katika mambo fulani. Aidha nilisoma pia mahali Wakati wanaume huongea maneno elfu mbili (2000) kwa siku wakati wanawake wanaongea maneno elfu saba ( 7000) kwa siku zidi ya mara tatu (3). Hapo unategemea nini nani atajua kwa haraka? Aidha Mungu/ Sayansi imempa mwanamke zana anayoihitaji zaidi kimaumbile yake. Jamani msiniulize source as sikumbuki!
wema mbwembwe kisauti na kuchanganya ndiokujua english wacha kabisa!Kwa sababu role modal wao ni wema sepetu